Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

We mwana wee, temea mate chini.....tulikuwa Kama wewe wenzio, sasa hivi tuna vitambi vinakata Kona, halafu usiambiwe havisikii mazoezi wala dawa za kuharisha🤣

Ukitaka kukimaliza labda ukonde, na ukikonda dako linaisha🤣🤣🤣 Sasa niondoe taako kisa tumbo....thubutuuu🤣
 
Ahaaa chagua moja tumbo flat au tako?😅
 
Habari za jioni wanajamvi

Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje [emoji848][emoji848].

Yaani hakuna kitu kinakikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbele[emoji855][emoji855].. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.

Asa sikia, kama ni mdada, mrembo mzuri halafu una kitambi, fanya mazoezi ya kupunguza tumbo hata mara moja kwa siku. Wengine mtasema hamna hela za kulipia Jim sawa naelewa, ila kuna Applications nyingi sana za mazoezi unaweza ukaingia playstore ukadownload ukaanza mazoezi yako mdogomdogo..

Na nyie wakaka muwashawishi wapenzi wenu wafanye mazoezi bhana.

Mimi nikionaga couple mkaka upo na mdada mwembamba ana kitambi sijui hua nawaonaje yani[emoji3166]

Nimemaliza....

Wengine tuna penda wenye vitambi kina act kama shock absober[emoji28]
 
Back
Top Bottom