Wadada wengi siku 'wanatingisha' makusudi wakitembea mjini

Wadada wengi siku 'wanatingisha' makusudi wakitembea mjini

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Tunateseka sana wanaume unakuta mdada anatembea harakaharaka huku anakatika makusudi kabisa hii sio sawa.

Tembeeni kwa wastani msinyumbulike sana, yani kule sio kutembea ni kukatika kiuno makusudi.

Kama hamuamini wakulungwa kaeni kwenye malls au restaurants zilizopo pembeni ya barabara. Utakuta mdada kaning'iniza ki hand bag begani huo mwendo Sasa daaaaaaah.

Pepo walahi sio ya mkulungwa.
 
Kwa hiyo huu utopolo wako ndio una tija?

Jf bhana kuna watu wanajiona great thinker kumbe hamna kitu kabisaaaa
 
Alafu isije ikawa nabishana na dogo aliemaliza drs la saba anajianda kuingia form one mwakan maana ndio huwa na Tambo za kipuuuzi kama hizi zako
 
Back
Top Bottom