Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
Wewe ni mwenyeji katika mapenzi?Mgeni wa mapenzi wewe hao hawana tofauti na wamasai, wakikutana na HOH wenzao wanagawa mbususu.
Stivu ndo nani tena?Ila stivu bana umeamua uje useme changamoto zetu huku?
Ni wewe usijitoe ufahamStivu ndo nani tena?
Mtoa mada fata huu ushauri.Ni kawaida hiyo, mara nyingi wadada wenye changamoto flan flan za kibaolojia huwa wanakua submissive sana kwenye mahusiano kwanza hawapo radhi madhaifu yao yaendelee kua exposed na pili wanataka kuprove wapo vizuri kuliko hata wale ambao wapo normal
Kuwa na ubinadamu mkuu. Hawakupenda kuwa na hali hiyoMtu kuongea nae hadi upayuke kwa nguvu. Mtafutie tu hearing aid device basi
Mawardat mambo?Tumefikiwa viziwi hafifu😍
Dah JF! 😅😅binti kiziwi tia neno hapa mkuu.