Wadada wenye magari na vimini

linguistics,

Saikolojia ya mwanamke hata yeye mwenyewe haijui ikoje, ila wakiwa sehemu ya peke yao wanapenda kuwa uchi. mwanamke anajiona huru kisa yuko kwenye gari lake. kumbuka uhuru wa mwanmke ni kuwa uchi.
 
Siku nikipanda daladala ndo huwa nawaona. Kuvaa kimini sio ajabu lkn pale inapokuwa vimini vinavaliwa kwenye magari tu 😂 😂 😂 Mbona me navaa popote nnapojisikia?
 
Hata kidogo, unajua wavaa vimini ni wale wenye miguu ya chupa ya bia, hupendelea kuringishia walivyopendelewa!! mimi ninayo ya kunipeleka na kunirudisha 😀😀😀
Hongera sana. Sasa kwanini ww hutaki kuonyesha guu la bia😂😂😂
 

Mara nyingi unaweza kuchungulia paja la mwanadada ukiwa kwenye daladala refu (coaster au DCM). Tena mara nyingi uwe umesimama yaani hujapata siti....ndio ule upande umeelekea kama kuna huyu mama anapigwa upepo uvunguni na ac waweza kumuona. Sio vinginevyo mkali. Pole.
 
linguistics,

Wivu kidonda,ukishiriki utakonda..ndio kama hivyo. Kinachokufanya uangalie kwenye mikweche yao ni nini?si uangalie hao waliovaa vzr ktk daladala?uroho tu wa mipaja huna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…