Wadada wenye magari na vimini

Wadada wenye magari na vimini

linguistics,

Saikolojia ya mwanamke hata yeye mwenyewe haijui ikoje, ila wakiwa sehemu ya peke yao wanapenda kuwa uchi. mwanamke anajiona huru kisa yuko kwenye gari lake. kumbuka uhuru wa mwanmke ni kuwa uchi.
 
Unaanzaje kuchungulia vioo vya magari ya wanawake hadi kwenye mapaja? Yaani muda hio unakua uko upande UPI?? Umetega mahali au unatembea au unaenda kuchungulia? Sijaelewa! Learn to mind your own business Mpwa!

Kuna siku utakuja kuona my wife wako amepewa lift uanze kuumia! Relax maisha yana mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nikipanda daladala ndo huwa nawaona. Kuvaa kimini sio ajabu lkn pale inapokuwa vimini vinavaliwa kwenye magari tu 😂 😂 😂 Mbona me navaa popote nnapojisikia?
 
Hata kidogo, unajua wavaa vimini ni wale wenye miguu ya chupa ya bia, hupendelea kuringishia walivyopendelewa!! mimi ninayo ya kunipeleka na kunirudisha 😀😀😀
Hongera sana. Sasa kwanini ww hutaki kuonyesha guu la bia😂😂😂
 
Anavaa nguo fupi sana akijua hana shughuli nyingi za kumuweka nje anajua point zake ni zipi akishuka mara moja anarudi kwene guta yake, tofauti na kwene daladala lazima ujiulize utakaaje na unatumia public transport? Ila mtu yuko ndani ya gari na pengine amepiga tinted we unawaonaje au umesimliwa, haingii akilini acha umbea

Mara nyingi unaweza kuchungulia paja la mwanadada ukiwa kwenye daladala refu (coaster au DCM). Tena mara nyingi uwe umesimama yaani hujapata siti....ndio ule upande umeelekea kama kuna huyu mama anapigwa upepo uvunguni na ac waweza kumuona. Sio vinginevyo mkali. Pole.
 
linguistics,

Wivu kidonda,ukishiriki utakonda..ndio kama hivyo. Kinachokufanya uangalie kwenye mikweche yao ni nini?si uangalie hao waliovaa vzr ktk daladala?uroho tu wa mipaja huna lolote.
 
Back
Top Bottom