Wadada wenye magari na vimini

Wadada wenye magari na vimini

Anavaa nguo fupi sana akijua hana shughuli nyingi za kumuweka nje anajua point zake ni zipi akishuka mara moja anarudi kwene guta yake, tofauti na kwene daladala lazima ujiulize utakaaje na unatumia public transport? Ila mtu yuko ndani ya gari na pengine amepiga tinted we unawaonaje au umesimliwa, haingii akilini acha umbea
Kwene au sio
 
Hahaha mm nawaonaga sana tu ila kwangu ni fureshi,unakuta kadada kapo kwenye ist kameachia mapaja meupe nje ni mwendo wa kula chabo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah we acha tu halafu ukataka uhudumiwe na nawe[emoji3] hapo unaachaje kuomba namba na Yale mashati yao kifua kimesimama sjui ndo siridia wanazovaa zinayapiga jeki kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 mlevi siku hizi kuna weupe, mahips, makalio na matiti ya kutengeneza... Kuna dawa za kupaka au kumeza, sio mpk plastic surgery.

Mitako mingi na mahips ya wadada ni FAKE 😂 😂
 
Mtoa mada hauko updated..kuna vigauni wanashona vya vitenge, sasa hivi wanavaa wanakua kama vikatuni vinapaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakikaa kwenye usukani wanavichomeka mapajani kwa ndani halafu wanaweka simu kwa juu pale kwenye mashine[emoji16].

Kwa leo tu nimekutana na wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom