Wadada wenye mapenzi ya dhati wawekewe nembo!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Nimechoka kutangatanga nahitaji kuupumzisha moyo sasa mtu unahangaika nakupigwa matukio mpaka unasahau jina lako!.

Wawachape tu hata kialama kidogo kwenye makomwe tujichukulie mapumziko yetu tukatulienayo nyumbani!, hizi ndimu huku mtaani zitatuua!.

kama vipi serikali ingilieni kati tu!.
 
Wenye mapenzi ya kweli wako kwa wàume zao, wewe pambana na hizo kwasukwasu utatoboa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…