Wadada wenye mapenzi ya dhati wawekewe nembo!

Tafuta Dem ambaye anaonyesha nia ya kuwa na wewe ndo atakupa mapenzi ya kweli na sio vingnevyo
Siku hizi baadhi ya wadada matapeli ni wajanja, hawasubiri mpaka uwatongoze, anakufata mwenyewe anakupa signs na attention kukuonesha kwamba amevutiwa na wewe ili umtongoze, kumbe kiuhalisia anataka akuchune hela

Ukiwauliza why wapo single, ohh hawajapata wanaume wenye mapenzi ya kweli, wakati wao wenyewe hayo mapenzi ya kweli hawana Lamomy Hannah sukeleward Melancholic KENZY Mallerina To yeye
 
mkuu inaonekana yamekukuta mengi..!
 
Mkuu naomba nije pm unishauri jambo
 
Nimechoka kutangatanga nahitaji kuupumzisha moyo sasa mtu unahangaika nakupigwa matukio mpaka unasahau jina lako!.

Wawachape tu hata kialama kidogo kwenye makomwe tujichukulie mapumziko yetu tukatulienayo nyumbani!, hizi ndimu huku mtaani zitatuua!.

kama vipi serikali ingilieni kati tu!.
Hizo nembo usiprint utakula hasara.
 
Siku hizi baadhi ya wadada matapeli ni wajanja, hawasubiri mpaka uwatongoze, anakufata mwenyewe anakupa signs na attention kukuonesha kwamba amevutiwa na wewe ili umtongoze, kumbe kiuhalisia anataka akuchune hela

Ukiwauliza why wapo single, ohh hawajapata wanaume wenye mapenzi ya kweli, wakati wao wenyewe hayo mapenzi ya kweli hawana Lamomy Hannah sukeleward Melancholic KENZY Mallerina To yeye
Sasa km umekaa kuchunwa chunwa kwann usitongozwe?? 😹
 
Siku hizi baadhi ya wadada matapeli ni wajanja, hawasubiri mpaka uwatongoze, anakufata mwenyewe anakupa signs na attention kukuonesha kwamba amevutiwa na wewe ili umtongoze, kumbe kiuhalisia anataka akuchune hela

Ukiwauliza why wapo single, ohh hawajapata wanaume wenye mapenzi ya kweli, wakati wao wenyewe hayo mapenzi ya kweli hawana Lamomy Hannah sukeleward Melancholic KENZY Mallerina To yeye
At Mimi sijapata wa mapenzi ya kweli

😂😂😂
Naunga dada zangu mkono
 
Nimechoka kutangatanga nahitaji kuupumzisha moyo sasa mtu unahangaika nakupigwa matukio mpaka unasahau jina lako!.

Wawachape tu hata kialama kidogo kwenye makomwe tujichukulie mapumziko yetu tukatulienayo nyumbani!, hizi ndimu huku mtaani zitatuua!.

kama vipi serikali ingilieni kati tu!.
Kwenye jambo lolote ambalo linajumuisha hisia za binadamu hakuna guaranteed return ya uwekezaji wako kihisia au kifedha.

Feelings change, human grow bored, heart search fantasies and adventure

My take: usiwekeze kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom