Wadada wenye maumbo mazuri kwa asilimia kubwa wakikutana na mwanaume huhisi kutongozwa tu

Hashtag konki sana Mzee baba
 
Mnataka wawe walaini ili mlete stori yake kwenye kuliwa tunda kimasihara sio[emoji1787][emoji1787]



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 

Ongeza sauti tafadhal
Ili wasikie wote mkuu.
 

Kiungo cha ajabu na thamani kubwa kwa mwanamke ni Chuchu Dodo, utamu wa Sura, Matako ni matokeo ya kawaida sana sio booster kivile. Umkute fundi ana sura, chuchu na ushirikiano, full magenye na time na network la kutosha ndio utajua bikra za kiume huwa haziishi.
 
Kuna mama mmoja hivi nae ana mtako alikuwa Tanesco maeneo ya Liwiti, tulinunua umeme wa elfu 30 ila ukiingiza mita ina kataa.

Nikaenda 1 na nusu nipo pale kufika ni kaambiwa muhusika hayupo, nikaa kumsubiria mpaka tatu kasoro, huyo ana ingia na gari lake nikampa robo ajipange kwenda akaniambia subiri ninywe chai ni kakaa nusu saa ni kaenda tena ni kamkuta bado anapiga mchemsho wa kuku. Nikasubiri tena,naenda mida ya saa nne kasoro akaniambia internet hamna.

Nimekaa sana cha ajabu pembeni kulikuwa na mama mmoja kafunga ushungi kazungukwa na watu wengi ana wahudumia. Nimeenda tena saa tano akaniambia mtandao hamna, sasa sita jibu lile. Saa saba nika ingia yule alivyo niona yule mama mwenye ushungi nahisi alinionea huruma, japokuwa alikuwa na watu anawahudumia. Akaniambia njoo mwanangu nika mweleza tatizo langu,aka ni saidia ndani ya dk tatu ni kaondoka zangu.

Sasa kuna mwanangu yy ni kishoka anaendaga sana ktk hiyo ofisi ni kawa na msimulia, akaniambia kuna meneja mmoja wa kanda ana mgonga huyo mama (nyumba ndogo).Ukiongea nae sauti anaitolea puani.
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…