Muda si mrefu tutasikia beira delicious,beira kaoge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanachanganya wadada na wanawake. Wavulana wakikutana na wadada au mabinti basi wanajumuisha wote kama wanawake.Ukute mwanafunzi mwenzie alimuomba vocha ya buku basi ndio kapanik.
Watulie tu wawe wanaume, lasivyo kulia lia huku wataolewa wajiunge na akina kaoge.
Dogo haujanijibu ujue, kwanini ulichagua kuolewa?videm choka mbaya utavijua tu, povu limewajaa kama wanaumwa kifafa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
afu vina majina mazuriii kumbe mbwanda kala mbwanda.
Baby boy, sasa kama una pesa kwanini unalialia shida tena!! Au hauna uhakika kama unazo?Mimi nina pesa ndo maana naenda kwa wenye pesa so nikikutana wasichana wenye njaa kamaa huwa nawapiga mikas na kusepa
Aliyekwambia kwamba mimi natangoza wanafunz ni nan?Tatizo lako unatembea na wanafunzi alafu unatujumuisha wanawake wote. Ngoja nimtafute Ndalichako.
Mwanamke atafute kazi ya kufanya ya nini wakati wewe mwanaume upo?
Ukiona hauwezi basi tulia tafuta kazi na pesa kwanza "baby" mapenzi yapo tu utayakuta ukishapata pesa.
Hilo sio tatizo, wewe ndio tatizo mdogo wangu, maana umeparamia mambo yaliyokuzidi umri. Ila ungekuwa mkubwa ungetambua kuwa hayo ni majukumu yako ya kawaida tu dogo.Hapa hakuna anayelia lia
Nimeamua kuliweka waz hili tatizo ili likome
Dunia nzima ijue wadada wa tanzania ni omba omba wamefanya papuch kama mtaji
Something is wrong somewhere for sure. Twende nao taratibu tu.Muda si mrefu tutasikia beira delicious,beira kaoge[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanachanganya wadada na wanawake. Wavulana wakikutana na wadada au mabinti basi wanajumuisha wote kama wanawake.
Tutamkosa huyu mtu kama hato badilika,soon delicious on making.
Hapana espy hawa unawaacha tu waendelee na "moto " huo huo kwa raha zao mana ni kama wanasema watasaidiwa wake zao muda nguvu zao zikiisha halafu ndo unakuta ndo kwanza miaka 35 kwaio wameshaamua kwamba wakezao wataridhishwa na wengine maana wao kwa sasa wako bize na kuzimaliza nguvu kwa wasichana wengine because they deserve ..sio wake zao they deserve but wengine tu ndo wana deserve nguvu zake.Bora uongee wewe mwanaume labda wanaweza kukuelewa, maana sie mama zao hawatuelewi kabisa. Akina baba jamani hebu kujeni tuokoe hikikizazi chetu.
Hakuna mwanamke masikini, bali kuna mwanaume masikini.Kuna mahubiri ya mchungaji mmoja hivi niliwahi kuyasikiliza akisema, hata Mungu hawezi kuweka agano na mtu masikini coz hana msimamo na agano lake linaweza kuwa batili.
So kwenye hilo naweza kukubaliana na ww kabisa.
Hakuna mwanamke masikini, bali kuna mwanaume masikini.
Hilo sio tatizo, wewe ndio tatizo mdogo wangu, maana umeparamia mambo yaliyokuzidi umri. Ila ungekuwa mkubwa ungetambua kuwa hayo ni majukumu yako ya kawaida tu dogo.
MBITIYAZA hebu njoo huku tusaidiane kumlea huyu mtoto wetu.
Kwani hao watoto si wanakuwa wenu? Usijisifie kuzalisha na kuacha mdogo wangu. Ndio maana nakwambia umri ndio shida. Ila jitahidi sana usizalishe kabla ya ndoa.Aliyekwambia kwamba mimi natangoza wanafunz ni nan?
Kwahiyo mnakuwa omba omba kisa sisi wanaume tupo? mtabak kuwa singo maza hivyo hivyo
Nguvu haziishag kiongoz wangu acha uoga32 ? Duh hongera sana ukishea nao kiungo chako hicho kwa wote hao unajiskiaje ..
So it means kwa miaka yako hio 20+ wewe ukifika 30 ama 40 pengine unakua umeshaoa nguvu zako zitakua zinaanza kupukutika kama majani, mana nguvu nyngi unazitumia miaka hii so that means wew mkeo hautamridhisha kwa kifupi tu sababu nguvu zako zote umemalizia ujanani
Hakuna mwanamke masikini, bali kuna mwanaume masikini.
Sasa tukiwaacha huoni ndio litakuwa tatizo la baadae huko, emagine ndio akawa mume wa mwanao!!!!Hapana espy hawa unawaacha tu waendelee na "moto " huo huo kwa raha zao mana ni kama wanasema watasaidiwa wake zao muda nguvu zao zikiisha halafu ndo unakuta ndo kwanza miaka 35 kwaio wameshaamua kwamba wakezao wataridhishwa na wengine maana wao kwa sasa wako bize na kuzimaliza nguvu kwa wasichana wengine because they deserve ..sio wake zao they deserve but wengine tu ndo wana deserve nguvu zake.