Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli haujawahi muacha mtu salama. Pambana mdogo wangu. Baby boy
Ukweli utoke kwako uje kwangu?

Sikia sister unajua hili tatizo limekuwa sugu ndo maana leo nimeamua kuwachana

Tafuten pesa zenu acheni utegemez sio kitu kizur

Alafu mbona nyie masikin kutwa mnanuka mawigi mna shida gan nyie
 
Mimi sio mwanafunz sister
 
Sasa tukiwaacha huoni ndio litakuwa tatizo la baadae huko, emagine ndio akawa mume wa mwanao!!!!
Jambo zuri kwa mzazi wa kiume ni kumueleza kila kitu binti yake na kwa uwazi na jinsi ya kuwatambua viumbe kama hawa wanaoonja onja kila mwanamke ili asi fall into the hands of these predators
So the choice becomes hers to take which direction and by the way mwanamke anaejielewa, ambaye ana hofu ya Mungu, upstairs kuko vizuri, anayetambua thamani yake hawez babaishwa na cheap boys ...mwanamke wa hivo ataweweseka na A REAL MAN.
 
Ukweli utoke kwako uje kwangu?

Sikia sister unajua hili tatizo limekuwa sugu ndo maana leo nimeamua kuwachana

Tafuten pesa zenu acheni utegemez sio kitu kizur

Alafu mbona nyie masikin kutwa mnanuka mawigi mna shida gan nyie
Sikujibu mimi mvulana,soma hapa comment ya mwanaume.

 
Wewe una mume? Utamtoa wapi

Wewe ni singo maza acha kudanganya watu hapa jukwaan

Hizo njaa ndo zimekufanya uwe singo maza had sasa na usijue cha kufanya
 
Mbona kwenye mada umewaongelea kuwa ulikuwa nao na wakawa wanakuomba pesa kila siku? Na umetoka kuniambia kuwa umecho msg kila siku za kuombwa pesa!!! Au ulikuwa unaota tu mdogo wangu?
Nilikuwa nao kwa sasa sitaki kuwaona wala kuwasikia

Angalia hata idad ya ambao nishawah kutembea nao ni wachache sana sio kama matajil
 
Wewe una mume? Utamtoa wapi

Wewe ni singo maza acha kudanganya watu hapa jukwaan

Hizo njaa ndo zimekufanya uwe singo maza had sasa na usijue cha kufanya
Eti singo maza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Ukipata bwana usiache kunitumia kadi ya mwaliko,utakapo olewa.sawa mdogo wangu.
 
If you are serious to have slept with 32 women at your age, then you are not serious! That will affect your matrimonial relationship with your wife. Pole yako!

Vv
 
Sio kwamba najifu inawezekana unaesema hapa mimi sina shuguri mshahara wako ndoo nao lipa vibaruwa wanyumbani kwangu
Ao nawewe ndoo ware wanao tangaza shida kama yatima minasema kama unaniuzia sema ilitupate nafasi ya kupunguzia bei
tatizo lako kijana huenda hujui unazungumza na nani, hata ufanyeje huwezi nilipa mshahara ninaolipwa
uliza wanaonifahamu kina Beira watakuambia acha poyoyo mingi
 
 
Hivi kuna mtu anakuendea wewe kwa mganga?!!!! Wakati huo anafata nini huko? Maana ela ya kuhonga huna,akakuroge apate nini kama sio kujitia nuksi??
Iv wewe nikija huko pm si utashangilia sana

Au nitie nia kwako uone kama hujaanza kuzunguka kwa kila mganga ili unikoleze nitulie

Unajua nyie singo maza mnamatatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…