Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

tatizo lako kijana huenda hujui unazungumza na nani, hata ufanyeje huwezi nilipa mshahara ninaolipwa
uliza wanaonifahamu kina Beira watakuambia acha poyoyo mingi
Hahaaaa hakujui huyo


Lakin mimi nakupenda sana maana hujawahi nipiga mzinga


Sio hawa singo mazaa wanaotokwa povu jingi
 
Jaribu uone kama hata mlangoni utapita.
Siwez hata kupoteza mda wangu maana mimi na single maza ni mbali mbali kabisa

Pambana tu na hali yako dada yangu mpendwa maserat

Lakin punguva njaa
 
Hebu subiri, shida yako mapenzi ya dhati au kuombwa pesa? Kuombwa pesa hakuhusiani na mapenzi ya dhati. Maana anaweza asikuombe pesa na akawa hana mapenzi ya dhati na wewe kabisa!!
Dogo umechanganya mambo hapo, ungesema hivi "wanawake masikini wanaomba sana pesa kuliko wanawake matajiri"
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
huwezi kuelewa akili ya mwanaume.
kama unakuja magetoni deile kutimiziwa haja zako na unarudi kwenu bila kuntangazia shida zako, yaan ww unataka kukitwa tu, basi hapo wanaume tunasema umenikubali na hayo ndo mapenzi ya dhati.

huwezi kuelewa akili ya mwanaume.
Kweli akili zenu hatuwez kuzielewa
 
kabisa mkuu. unakuta boya linajisifia mi nahudumia kumbe dem kashatuma mesej za kuombaomba elf kumi kwa wanaume kama kumi akija kutumiwa na wote kashaokoteza laki moja. yani ghafla aka kadem kanatengeneza sinking fund.
balaa.
Ndo maana mimi huwa nawatumia kama magodoro nalalia na kutupa hasa hawa wenye njaa njaa
 
Kwani na wewe huwa unaomba hela ya "sabuni" mkuu? Siku hizi nafikiri wanaiita hela ya salon.Sijui hao wadada huwa mpaka wakitoka kwenye starehe za kimwili ndio wanapandwa na ashiki ya kutengenezwa nywele au huwa ni tozo ya tendo wanalipisha indirectly?
sasa nitafua hizo nguo na nini? au nitaogaje? muwe mnajiongeza jaman
mimi sipendi kuomba ila ujiongeze tu mwenyewe

teh teh
kwani na wewe unataka kunipa hela ya sabuni?

napokea mkuu, tuma kwa ile namba ya mpesa
 
Back
Top Bottom