Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Jombaa hawa wanawake ni magodoro ya kulalia, unalaila leo kesho unatupa unachukua jingine
"Hawa wanawake" ....
je nakuuliza tu swali la ufahamu, mama yako mzazi angechezewa na kuachwa baada ya wewe kuzaliwa ungejiskia ushujaa? Ungemsifu baba yako kwa ushujaa alioufanya na kumwambia hio statement hapo juu kwamba "alikua ni godoro la kulalia tu"
 
utakuwa umeniambukiza, unajua sikuwa hivyo
teh teh
Kwa hiyo tushaanza kufana akili na mawazo? Mimi nataka tuchukue tabia yako ndo iwe yetu sote maana tabia yangu huwa siiamin kabisa
 
Sasa na ww unamgongeje wakati hujamzaa?kilicho kuachisha kwa hao 20 matajiri? Tafuta mmoja akuweke ndani uwe unapewa na ya mboga alafu ndio uje
Duh mkuu mimi huwa nina tabia ya kuonja onja ndo maana unaona list hapo juu ni kubwa sana
 
.
Analysis yako imeegemea upande mmoja tu. Kwamba kwa sababu huwajibiki kugusa mfuko wako ndio upendo lakini ukihusishwa kuchangia gharama unaona sii upendo.
Njaa aliyowasababishia Magu safari hii imetengeneza donoadume wengi sana.
Ndio maana donoadume(mwanauma mkwepa majukumu) wamekuja na msemo huu kwa sasa "mwanaume mashine" ha haaa.
Wanaume dizaini hii hata kuoa yanakwepa maana yanajua yatawajibika kuhudumia familia. Ila wakapata mwanamke wa kuwafuga ndio wanaona kwamba huo ndio upendo.
Magu kaza buti....
Mkuu mbona umeenda nje ya point aisee
 
Ukifirisika na upendo unapungua na kuna uwezekano mkubwa penzi likafa kbsa. Hawa viumbe vya section B ukiwa na hela unakuwa mtu na penzi linakuwa moto moto. Ukiishiwa migogoro inachukua nafasi.
Duh mkuu ushalambwa ban
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,

Toka nizaliwe hadi sasa nishawachapa miti wadada wasiopungua 32 lakini kati ya hao 32 masikini walikua10 na wengine 22 ni matajiri na wanatokea kwenye familia za kitajiri

Nilichoshangaa ni kuwa matajiri wana upendo wa nguvu sana lakini masikini hawana upendo kabisa aisee.

Masikini anakuja gheto kupigwa miti lakini mahesabu yake yakiwa yanalenga pochi yako yaani walet yeye mgonge lakini ukimaliza kumgonga anaanza kukueleza shida zake utazani wewe ndo uliyemzaa. Lakini matajiri akija gheto utapiga miti na ataenda kwao bila hata kuomba sent yako

Madada masikini badilikeni


LONDON BABY
Kwaasilimia fulani ni kweli...lkn nadhan kwasababu ya umaskin ndo maana unakuta wanasumbua coz wakiona sehemu nyingine yenye hela zaid hawaoni tabu kudanganyika... Ila matajiri nao wana tabu zao hawakawii kukuambia nenda huna chako hapa...... Ni Mungu tu atusaidie kwakweli...
 
Back
Top Bottom