Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Laiti mapenz yangekuwa yanapiga ngumi ya usoni...hakika tungeona watu wengi wa ajabu humu duniani...
 
Kwa hiyo tushaanza kufana akili na mawazo? Mimi nataka tuchukue tabia yako ndo iwe yetu sote maana tabia yangu huwa siiamin kabisa
hahahahahah umeipenda yangu eeeh
ngoja tufanye mpango uwe unakuwa na tabia yangu
sasa sikiza, utakuwa unanisikiliza na kunifatisha ninachofanya

teh teh
 
Nitakutumia usijalil, nitume ya sabunu au ya wine na nyama baada ya muda wa kazi?
wewe unaona kipi kizuri? wewe mwenyewe tu na roho yako
unaweza tuma ya sabuni, wine na nyama in a package
teh teh
 
Hii maada wengi sana hawajaielewa.

Nimegundua hilo baada ya kusoma posts za wadau.
 
Kwaasilimia fulani ni kweli...lkn nadhan kwasababu ya umaskin ndo maana unakuta wanasumbua coz wakiona sehemu nyingine yenye hela zaid hawaoni tabu kudanganyika... Ila matajiri nao wana tabu zao hawakawii kukuambia nenda huna chako hapa...... Ni Mungu tu atusaidie kwakweli...
Mkuu ukipata tajir usikubali uish kwake kila mtu awe na maisha yake mkutane wakati wa kupigana vyuma tu
 
hahahahahah umeipenda yangu eeeh
ngoja tufanye mpango uwe unakuwa na tabia yangu
sasa sikiza, utakuwa unanisikiliza na kunifatisha ninachofanya

teh teh
Poa poa tufanye hivyo aisee unajua mimi napenda tabia tako ya upole na ukarimu afu uko mtaratibu sana hunaga maneno mengi
 
Back
Top Bottom