Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

thanks for compliments mkuu
na utaendelea tu hakuna namna na itapendeza zaidi (in Louis voice Dr)
Asante sana kipenz tuko pamoja na mungu akubarik ukiwa unataka mastory meng meng usisite kunipm
 
Sasa waambie wakawaombe baba zao au kaka zao! waache kabsa kuwapumzikia vijana watafutaji lol
Umeona ndo hivyo hela wakaombe kwao penz isiwe kigezo cha kuombana hela kia saa
 
Ni kweli ila ttz lao wanataka ufanye km wanachotaka
 
kuomba pesa sio tatizo ila sasa sio unaomba pesa kisa nimekupiga miti it seems a bussiness
 
hahaha nyie semeni hampendi kuhudumia. unakuaje mwanaume unamla kila siku dem afu unamla bure huo sio uanaume yani unamla kama yako afu unaondoka mkuu hahahaha mwanamke usipokuwa unamtoa mara moja moja ujue unasaidiwa mkuu... mwezi huu mnunulie simu mwezi ujao gari... mfungulie boutique...aone faida ya kuwa na mwanaume we unamla afu demu anaondoka na basi huyoo anarudi kwao au kapanda kibajaji akati katoka kukuhudumia haja zako wewe alaaaaaaaaaah...me nikimkamata huyo lazma akuache....amna umaskini wala utajiri ..hudumia mwanamke wako baaadae mnakuja kujinyonga kisa mmeibiwa hahahaha siri ya mwanamke wako kutofurukuta na mwanaume mwingine yeyote mkuu make sure kila wakati wallet yake iko full.mkikua na mkioa mtaelewa na mtaacha
 
Back
Top Bottom