Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

unajua ukikua na akili inakua
Halafu kumbuka umeanza kunicopy akili zangu
nayo imechangia
Hahaaaaaa unaendelea kunichekesha

Yap mimi nataka akili yako ndo iwe yangu yaan tuwe sale sale
 
Kuonga kipaji kwakweli, ila ndo mpunguze ubahili.Hao wanawake matajiri nao walikua maskini kipindi wakiwa wadogo wanazitafuta.So muheshimu kabinti maskini cha leo katakua tajiri kakuonge alafu kumbe wanaume wa mkoani mnapenda slope eh.
 
iko hivi wadada masikin hwajui hali mbaya

Ukimwambia sina hela anachukia
 
cheka tu ujue kucheka nako ni afya mkuu
nafurahi nimeweza kukufanya ukacheka
Ndo maana mimi nimekuchagua wewe maana uko vizur kwa kila kitu nafurah kuona sasa umeanza kunibadilisha
 
Kuonga kipaji kwakweli, ila ndo mpunguze ubahili.Hao wanawake matajiri nao walikua maskini kipindi wakiwa wadogo wanazitafuta.So muheshimu kabinti maskini cha leo katakua tajiri kakuonge alafu kumbe wanaume wa mkoani mnapenda slope eh.
hakika tena kipaji hiki wanacho wamama zaidi
kwa binti ukianza kuhonga duuuuh sijui najisikiaje
unahongaje kwanza? hairuhusiwi kwa usalama wa kamoyo kako
 
Back
Top Bottom