Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Hahaha jamaa wakawatemea sumu wakawapiga chini!!??
Mkuu hawa mademu njaa wanapoteza maana halisi ya mapenz

Maana wao wanachojua ni mizinga tu

Iv ata wewe utavumilia kila siku unapigwa mzinga lazima usepe aisee
 
umeijulia wapi hiyo tarehe jamani? ina nini hiyo tarehe? kweli wewe ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahaaaa si unajua tena niliona kwenye kitambulisho chako cha kupigia kura ulichokisahau siku zile

Jitaid leo ukija ukichukue
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,

Toka nizaliwe hadi sasa nishawachapa miti wadada wasiopungua 32 lakini kati ya hao 32 masikini walikua10 na wengine 22 ni matajiri na wanatokea kwenye familia za kitajiri

Nilichoshangaa ni kuwa matajiri wana upendo wa nguvu sana lakini masikini hawana upendo kabisa aisee.

Masikini anakuja gheto kupigwa miti lakini mahesabu yake yakiwa yanalenga pochi yako yaani walet yeye mgonge lakini ukimaliza kumgonga anaanza kukueleza shida zake utazani wewe ndo uliyemzaa. Lakini matajiri akija gheto utapiga miti na ataenda kwao bila hata kuomba sent yako

Madada masikini badilikeni

LONDON BABY
Sasa na ww unamgongeje wakati hujamzaa?kilicho kuachisha kwa hao 20 matajiri? Tafuta mmoja akuweke ndani uwe unapewa na ya mboga alafu ndio uje
 
Hahaaaa si unajua tena niliona kwenye kitambulisho chako cha kupigia kura ulichokisahau siku zile

Jitaid leo ukija ukichukue
sina kazi nacho kwa sasa nitunzie tu, ikikaribia kupiga kura tena nitakifata
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,

Toka nizaliwe hadi sasa nishawachapa miti wadada wasiopungua 32 lakini kati ya hao 32 masikini walikua10 na wengine 22 ni matajiri na wanatokea kwenye familia za kitajiri

Nilichoshangaa ni kuwa matajiri wana upendo wa nguvu sana lakini masikini hawana upendo kabisa aisee.

Masikini anakuja gheto kupigwa miti lakini mahesabu yake yakiwa yanalenga pochi yako yaani walet yeye mgonge lakini ukimaliza kumgonga anaanza kukueleza shida zake utazani wewe ndo uliyemzaa. Lakini matajiri akija gheto utapiga miti na ataenda kwao bila hata kuomba sent yako

Madada masikini badilikeni

LONDON BABY
.
Analysis yako imeegemea upande mmoja tu. Kwamba kwa sababu huwajibiki kugusa mfuko wako ndio upendo lakini ukihusishwa kuchangia gharama unaona sii upendo.
Njaa aliyowasababishia Magu safari hii imetengeneza donoadume wengi sana.
Ndio maana donoadume(mwanauma mkwepa majukumu) wamekuja na msemo huu kwa sasa "mwanaume mashine" ha haaa.
Wanaume dizaini hii hata kuoa yanakwepa maana yanajua yatawajibika kuhudumia familia. Ila wakapata mwanamke wa kuwafuga ndio wanaona kwamba huo ndio upendo.
Magu kaza buti....
 
sasa nitafua hizo nguo na nini? au nitaogaje? muwe mnajiongeza jaman
mimi sipendi kuomba ila ujiongeze tu mwenyewe

teh teh
kwani na wewe unataka kunipa hela ya sabuni?

napokea mkuu, tuma kwa ile namba ya mpesa
Nitakutumia usijalil, nitume ya sabunu au ya wine na nyama baada ya muda wa kazi?
 
Back
Top Bottom