hahahahahah kumbe wanaleta wenyewe? na walete tu hakuna namnahakuna anaependa kutunzwa hapa mi nna pesa zangu na wewe tafuta zako, kilichotukutanisha ni nyge basi tuishie hapohapo kwenye nyge shida peleka kwa babaako.
na hayo mashuka kaleta mwenyewe sisi hatunaga shobo za kuomba.
narudia tena, kilichotukutanisha ni viungo hivi [emoji111] viwili tu, zaidi ya hapo kila mtu apambane na hali yake hakuna mteremko sku hizi na hakuna malipo baada ya sex kana kwamba nyie mnauza hio kitu.
shida hukooo kwa babaako.
Tuliza mshono singo maza dawa ikuingie vizur[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenye pesa wanajisema!!!!hivi wewe uwe na pesa kutwa kucha unashinda jf kuandika uzi unapata wapi time for production kama sio ela za kuhongwa????
HahahaIv wewe nikija huko pm si utashangilia sana
Au nitie nia kwako uone kama hujaanza kuzunguka kwa kila mganga ili unikoleze nitulie
Unajua nyie singo maza mnamatatizo sana
Hehehe ni singo maza huyu?Siwaz kupeleka singo maza kwenye gjeto langu
Umekosea kumuita huyo sister espy mambo gan sasa umefanyaHilo sio tatizo, wewe ndio tatizo mdogo wangu, maana umeparamia mambo yaliyokuzidi umri. Ila ungekuwa mkubwa ungetambua kuwa hayo ni majukumu yako ya kawaida tu dogo.
MBITIYAZA hebu njoo huku tusaidiane kumlea huyu mtoto wetu.
Jaribu uone kama hata mlangoni utapita.Iv wewe nikija huko pm si utashangilia sana
Au nitie nia kwako uone kama hujaanza kuzunguka kwa kila mganga ili unikoleze nitulie
Unajua nyie singo maza mnamatatizo sana
1. wanaume ni wachachehahahahahah kumbe wanaleta wenyewe? na walete tu hakuna namna
nimekupata mkuu
hahahahahahah hizi akili za siku hizi jamani duuuh1. wanaume ni wachache
2. kati ya hao wachache ni wachache wana nguvu za kiume
3. kati ya hao wachache wenye nguvu kuna wachache wanaojua mapenzi
kwa jinsi idadi inavozidi kushuka unaona kabisa wanaume wenye uwezo wao wapo wachache.
sasa mwanamke unabahatika kupata mwanaume mwenye mauwezo yake, kitu adim kabisa, unaleta tabia za kuombaomba hela wakati wenzako wanalialia kuwa na mimi?
yani wenzako wanasema I want nothing but love from you, wewe unasema I want love n money too?
asalale.
Kwani na wewe huwa unaomba hela ya "sabuni" mkuu? Siku hizi nafikiri wanaiita hela ya salon.Sijui hao wadada huwa mpaka wakitoka kwenye starehe za kimwili ndio wanapandwa na ashiki ya kutengenezwa nywele au huwa ni tozo ya tendo wanalipisha indirectly?hahahahahahah hizi akili za siku hizi jamani duuuh
asante nimekuelewa mkuu
Jombaa hawa wanawake ni magodoro ya kulalia, unalaila leo kesho unatupa unachukua jingineJambo zuri kwa mzazi wa kiume ni kumueleza kila kitu binti yake na kwa uwazi na jinsi ya kuwatambua viumbe kama hawa wanaoonja onja kila mwanamke ili asi fall into the hands of these predators
So the choice becomes hers to take which direction and by the way mwanamke anaejielewa, ambaye ana hofu ya Mungu, upstairs kuko vizuri, anayetambua thamani yake hawez babaishwa na cheap boys ...mwanamke wa hivo ataweweseka na A REAL MAN.
Naona umeanza matus badala ya hojaEti singo maza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Ukipata bwana usiache kunitumia kadi ya mwaliko,utakapo olewa.sawa mdogo wangu.
huyo kashapanic mpuuze tu blazaNaona umeanza matus badala ya hoja