hahaha nyie semeni hampendi kuhudumia. unakuaje mwanaume unamla kila siku dem afu unamla bure huo sio uanaume yani unamla kama yako afu unaondoka mkuu hahahaha mwanamke usipokuwa unamtoa mara moja moja ujue unasaidiwa mkuu... mwezi huu mnunulie simu mwezi ujao gari... mfungulie boutique...aone faida ya kuwa na mwanaume we unamla afu demu anaondoka na basi huyoo anarudi kwao au kapanda kibajaji akati katoka kukuhudumia haja zako wewe alaaaaaaaaaah...me nikimkamata huyo lazma akuache....amna umaskini wala utajiri ..hudumia mwanamke wako baaadae mnakuja kujinyonga kisa mmeibiwa hahahaha siri ya mwanamke wako kutofurukuta na mwanaume mwingine yeyote mkuu make sure kila wakati wallet yake iko full.mkikua na mkioa mtaelewa na mtaacha