Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?

Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
 
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada...
Si kila king'aacho ni dhahabu.

Upele humuota asiye na kucha/Penye miti hapana wajenzi.

Bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi.

UZURI WA MWANAMKE SIYO UREMBO BALI NI TABIA
 
Wakipenda pesa mnawasakama kuwa ni gold diggers, wakiwavumilia hustlers, mnaona kama hawatambui thamani zao. By the way katika kitu ambacho sikipendi kukiona kwa mwanamke ni kuchukulia uzuri wake kama chanzo cha kuishi good life ambalo hawezi kuligharamia hata kwa thumni.

Kiufupi hakuna haja ya kumlaumu boyfriend wa mtoto mzuri ilhali yeye hana kikwazo au upungufu wa kutafuta pesa.. Atafute mwenyewe
 
Kilaa mtu atafute Hela Kwa jasho lake na aitumie Kwa matumizi yake bila kupangiwa au cyo mkuu....
 
Kilaa mtu atafute Hela Kwa jasho lake na aitumie Kwa matumizi yake bila kupangiwa au cyo mkuu....
Kabisa mkuu, dunia ya sasa sio ya kusema mtu flani ni mrembo bhasi atapata good life. Hata hawa wanaodanga wanatofautiana bei kutokana na hadhi zao bro. Anaefanya kazi au biashara kiasi cha kujigharamia hawezi kuhongwa elfu hamsini Ila kama ni mtoto mzuri na anakaa ghetto, hata elfu kumi atachukua.. Hiyo ndo tofauti, uzuri pekee hautoshi
 
Back
Top Bottom