Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Hata mimi nilikuwa najiuliza kama wewe. Ila nikagundua tatizo labda ni nyota. Maana unakuta ni mdada mkaleeeee hadi mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume ila maisha yake sasa. Na sio kwamba hana wanaume….. ana msururu wa wanaume ila wote hovyo. Akipewa sana ni buku 20.

Naona ni bahati tu kupata bwana wa kutoa matunzo licha ya kuwa wazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20 nyingi sana kuna kipindi nilisha fika karatu niliona mabinti wazuri sana yani akikuona na laki ,unamwona anavyotetemeka kuja kuchunguza vizuri kumbe tabia zao mara nyingi ndio zinawaangusha

Kweli uzuri sio kila kitu kuna tabia na kujua thamani yako. Huyo mmoja ni mzuri na yupo hapa dar ila anatembea hadi na makonda wa daladala ili asidaiwe nauli ya 400 sijui mia 5. Halafu ni shoga angu. Huwa natamani hata nimchape makofi.
 
Wakipenda pesa mnawasakama kuwa ni gold diggers, wakiwavumilia hustlers, mnaona kama hawatambui thamani zao. By the way katika kitu ambacho sikipendi kukiona kwa mwanamke ni kuchukulia uzuri wake kama chanzo cha kuishi good life ambalo hawezi kuligharamia hata kwa thumni.

Kiufupi hakuna haja ya kumlaumu boyfriend wa mtoto mzuri ilhali yeye hana kikwazo au upungufu wa kutafuta pesa.. Atafute mwenyewe
Well said...
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza kama wewe. Ila nikagundua tatizo labda ni nyota. Maana unakuta ni mdada mkaleeeee hadi mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume ila maisha yake sasa. Na sio kwamba hana wanaume….. ana msururu wa wanaume ila wote hovyo. Akipewa sana ni buku 20.

Kuna msemo wa wahenga wa kizungu unasema

You are a product of your environment.

Mwanamke mzuri utakayekutana nae kwenye mishe za utafutaji kama kazini. Ana tofauti kubwa na mwanamke mzuri utakayekutana nae mtaani hana mishe ya kueleweka.

Mfano hai. Kampuni za ukaguzi wa mahesabu zimejaaa sana wanawake wazuri. Mfano hai Miss Tanzania wa mwaka 2013 Happiness Watimanywa amesoma ana CPA na anafanya kazi KPMG kama Auditor

Pia bar nyingi, na mitaa ya uswahilini imejaa wanawake wazuri.

Hapo ukiweka chance ya kupata mume wa maana ama tajiri.. automatic wanawake wakaguzi wa mahesabu wana nafasi kubwa. Sababu mazingira yao na kazi zao wanakutana na wanaume wa maana tu.

Mwanamke mzuri wa uswahilini anakutana wapi na CEO ama CFO wa Vodacom ?
 
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?

Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..

Wanawake wa iyo mikoa moshi arusha niwapambanaji haswa...!!! Na ndo sbabu huwezi kuta manzi iyo mikoa anaendeshwa na mapenzi au mpenzi!!! Wanawake wengine waige iyo mifano..... pesa huwa haijai wala haitoshi
 
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?

Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
Kwa mitazamo hii ushoga ni ngumu sana kuisha. Watu lazima watalambwa unaweza kuta mimi ni mvulana unawaza hivi. Kesho mtu anakwambia akupapase na mjegeje kwenye makalio haingizi atakupa iphone 13 si unakubali? Maana unaamini sana katika kupewa.
 
Dada ulitaka aliwe na nani?, uzuri na utajiri kwani una association yeyote?.. Yan ukiwa mzuri unatakiwa uwe na Elon Musk?... Ndio mana hawa wanawake vizu hawaolewi, community inawa brainwash ili wawe magold diggers bila wao kujijua, wakishakuwa malaya hakuna mtu anawataka tena kuwafanya wake...
 
Kuna msemo wa wahenga wa kizungu unasema

You are a product of your environment.

Mwanamke mzuri utakayekutana nae kwenye mishe za utafutaji kama kazini. Ana tofauti kubwa na mwanamke mzuri utakayekutana nae mtaani hana mishe ya kueleweka.

Mfano hai. Kampuni za ukaguzi wa mahesabu zimejaaa sana wanawake wazuri.

Pia bar nyingi, na mitaa ya uswahilini imejaa wanawake wazuri.

Hapo ukiweka chance ya kupata mume wa maana ama tajiri.. automatic wanawake wakaguzi wa mahesabu wana nafasi kubwa. Sababu mazingira yao na kazi zao wanakutana na wanaume wa maana tu

Asante sana. Umejibu swali ambalo lilikuwa linanitatiza sana.
 
Kweli uzuri sio kila kitu kuna tabia na kujua thamani yako. Huyo mmoja ni mzuri na yupo hapa dar ila anatembea hadi na makonda wa daladala ili asidaiwe nauli ya 400 sijui mia 5. Halafu ni shoga angu. Huwa natamani hata nimchape makofi.
binti akijiheshimu na kutopenda kuwa juu, hata asipopata tajiri hutamwona akihaha kwenye maisha
 
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?

Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
Hana wazazi?
 
Tatizo linaanzia hapo "..haoni thamani ya huyu mdada.."

Ukishaweka thamani ya mtu kwenye terms za fedha, kila kitu kinaharibika.

Hii dhana ya kudhani mtu "A" ni bora kuliko mtu "B" ni dhana za kishenzi!

Na tena dhana ya kupanga thamani ya mtu kulinga na mionekano ni ushamba, ni ujinga, ni upumbavu uliochangia maadili ya Taifa jili kuporomoka.

Yaani kwasababu ya uzuri "wake" boyfriend ageuke kuwa mzazi wake!?

Vijana wa aina yako mleta mada, hawana mchango wowote katika Taifa hili. Utakapo pata watoto wako mwenyewe utaikumbuka thread yako hii ya ki-choko.
 
Wakipenda pesa mnawasakama kuwa ni gold diggers, wakiwavumilia hustlers, mnaona kama hawatambui thamani zao. By the way katika kitu ambacho sikipendi kukiona kwa mwanamke ni kuchukulia uzuri wake kama chanzo cha kuishi good life ambalo hawezi kuligharamia hata kwa thumni.

Kiufupi hakuna haja ya kumlaumu boyfriend wa mtoto mzuri ilhali yeye hana kikwazo au upungufu wa kutafuta pesa.. Atafute mwenyewe
Ukiona kijana anafungua SREDI ya malalalamiko kuhusu pisi kali ujue kama mwendo haujamalizwa basi anaelekea kwenye cosmic journey yake🤣
 
Kweli uzuri sio kila kitu kuna tabia na kujua thamani yako. Huyo mmoja ni mzuri na yupo hapa dar ila anatembea hadi na makonda wa daladala ili asidaiwe nauli ya 400 sijui mia 5. Halafu ni shoga angu. Huwa natamani hata nimchape makofi.
Anatembea nao Baada au kabla ya kupanda?
 
Hawako smart kichwani, zaidi ya umbo walilonalo. Binafsi nikigundua mlimbwende ana IQ ndogo huwa namuweka pembeni.
 
Sana..umenena sawai.
Ujue mfuko wa elim yetu unatu subject kwenye ku gauge vitu katika mtazamo sawaa.yan unachowaza wewe unataka ndio kiwe kipimo cha wengine..tatizo kubwa
Ni kweli mkuu,na pia ni chanzo cha matatizo mengi sana..maana tunaishi matazamio ya jamii na sio kadiri ya uhitaji muhimu wa akili na nafsi zetu.
 
Kuna msemo wa wahenga wa kizungu unasema

You are a product of your environment.

Mwanamke mzuri utakayekutana nae kwenye mishe za utafutaji kama kazini. Ana tofauti kubwa na mwanamke mzuri utakayekutana nae mtaani hana mishe ya kueleweka.

Mfano hai. Kampuni za ukaguzi wa mahesabu zimejaaa sana wanawake wazuri. Mfano hai Miss Tanzania wa mwaka 2013 Happiness Watimanywa anafanya kazi hizo kampuni

Pia bar nyingi, na mitaa ya uswahilini imejaa wanawake wazuri.

Hapo ukiweka chance ya kupata mume wa maana ama tajiri.. automatic wanawake wakaguzi wa mahesabu wana nafasi kubwa. Sababu mazingira yao na kazi zao wanakutana na wanaume wa maana tu.

Mwanamke mzuri wa uswahilini anakutana wapi na CEO ama CFO wa Vodacom ?
Can we say Amen to this!

Uzuri unaokuwa accompanied na package zingine ndio uzuri wenye faida. Package hizo ni 1.akili,
2.Shule,
3.exposure,
4.economic wellbeing ya familia aliyetokea msichana.
5.Tabia
6. Mengineyo 😅

Haya ndio mambo yatamtofautisha msichana mzuri mmoja na mwingine. Mabinti wazuri wasiwe delusional, wanatakiwa kupambana sana kusecure baadhi ya vitu ambavyo ni attainable kama lengo lao ni kukutana na wanaume wa maana, la sivyo itakuja kubaki historia tu kwamba huyu alikuwaga mzuri, alikimbiza sana mtaani.

Cha mwisho, wanaume sio mafala!
 
Back
Top Bottom