Can we say Amen to this!
Uzuri unaokuwa accompanied na package zingine ndio uzuri wenye faida. Package hizo ni 1.akili,
2.Shule,
3.exposure,
4.economic wellbeing ya familia aliyetokea msichana.
5.Tabia
6. Mengineyo [emoji28]
Haya ndio mambo yatamtofautisha msichana mzuri mmoja na mwingine. Mabinti wazuri wasiwe delusional, wanatakiwa kupambana sana kusecure baadhi ya vitu ambavyo ni attainable kama lengo lao ni kukutana na wanaume wa maana, la sivyo itakuja kubaki historia tu kwamba huyu alikuwaga mzuri, alikimbiza sana mtaani.
Cha mwisho, wanaume sio mafala!