Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Dah,Thumni,,,inaonesha wewe Alhamdulillaah,,,umelamba chumvi.

😂 Ahh mkuu nimeishi lakini sijafikia kiasi cha kujiita nimelamba chutti maana kwa vigezo vote, mimi bado ni kijana ambaye hajafika hata 35 🙏🏽🙏🏽
 
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?

Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
Umewaza ki gentleman zaidi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tuache kudanganyana Tabia haijawai kumshindisha mwanamke u miss Tanzania
Tabia haiwezi kukupa mkataba wa kua modor
Tabia haijawai kumshindisha mtu msa dunia
Uzuri ni uzuri na tabia ni tabia
Kipimo cha mwanamke ni uzuri sio tabia
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ya Mungu mengi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Can we say Amen to this!

Uzuri unaokuwa accompanied na package zingine ndio uzuri wenye faida. Package hizo ni 1.akili,
2.Shule,
3.exposure,
4.economic wellbeing ya familia aliyetokea msichana.
5.Tabia
6. Mengineyo [emoji28]

Haya ndio mambo yatamtofautisha msichana mzuri mmoja na mwingine. Mabinti wazuri wasiwe delusional, wanatakiwa kupambana sana kusecure baadhi ya vitu ambavyo ni attainable kama lengo lao ni kukutana na wanaume wa maana, la sivyo itakuja kubaki historia tu kwamba huyu alikuwaga mzuri, alikimbiza sana mtaani.

Cha mwisho, wanaume sio mafala!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?

Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
Boyfriend ni mme boss? Unataka kujenga mahusiano very weak kwa maana maisha ni mzunguko, hivyo kama msingi ni kununuliana vitu usijelia akiwamaterialistic mkioana. Uzuri wa mwanamke unaousifia hapo sio uzuri per se bali ni matamanio, hivyo kabla hujalala nao utachagizwa kweli kuwanunulia vitu ila ukishalala nao hamna cha pisi kali wala kipisi cha upole utamuona ni binadamu mwenzako ambaye ni jinsia nyingine. Ukiendeshwa na matamanio ndio yatakufanya ufilisike vibaya. Uchumi wenyewe mbaya, wewe unataka umgharamikie umemuoa na maisha yako unauhakika yapo stable au matamanio ndio yanakutuma ujifanye baba kwake. Tulia mabinti nao watulie na wapenzi wao wayajenge maisha yao kwautaratibu bila kuthaminishana kupitia maluxury items, watafika mbali. Boyfriend sio mme na pili sio baba yahao mabinti, ukiweza kumuiba huyo mwanamke basi hakufaa kwazao la ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanaume walio nao hawana kipato Je ? Na ameamua kuwa na mwanaume huyohuyo utajuaje?
Mwanaume hata uwe maskini vipi, ukipambana na ukiamua huwezi kosa kipato cha kumnunulia girlfriend, simu ya elf 25, kama girlfriend anatumia smartphone iliochakaa au kiswaswadu kibovu. Kama mdada ameamua kuwa na mwanaume huyo huyo, ni uamuzi wake, siwezi mfata nimpangie, ndo maana nikiwaona huwa nakaa kimya.

Mm naamini katika kumuhudumia Kipesa mwanamke nilie naye kwenye mahusiano, kwasababu mke/mchumba is a reflection of me& She is somehow a part of me, ila tu nachopingaga humu jf ni kuombwa hela mda mfupi baada ya kutongozwa, au mdada kuingia kwenye mahusiano na mm kwa sababu nampa hela, ila moyoni hanipendi Mideko Kelsea
 
Haisee wenzako wanaheshimu utu wao bf sio mtu wa kukunulia simu wala kitj chochote yaani sio tegemeo kwa gf. Hili kosa ndilo linafanya wasichana wasiolewe kwani wanaanza kuonesha utegemezi wao mapema na vijana KUWAKIMBIA Aakikununulia sawa ila si kwa ajili umlipe kwa uzinzi. Ni vyema zaidi ukawa unakataa hv vizawadi kama una NIA UOLEWE. NI HAYO TU.
Kwanini mdada akatae zawadi anayopewa na boyfriend wake? Naamini katika kumuhudumia kipesa mwanamke nilie naye kwenye mahusiano, nachopingaga ni mdada kuomba hela mda mfupi baada ya kutongozwa na mdada kuwa kwenye mahusiano na mm sababu nampa hela ila moyoni hanipendi masaduku
 
Mkuu inategemea na boyfriend mwenyewe. Kuna boyfriend ataona dem wake kua na simu mbovu ni sawa, kuna mwingine hatopenda.

Ni swala la mapendeleo.....
 
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?

Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
Khaaa
 
Umewaza ki gentleman zaidi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bora wewe umenielewa, nashangaa kuna wanaume wenzangu humu wananiponda, ni jukumu langu (naturally i feel like this) kumuhudumia kipesa girlfriend/mke nilie nae, yani nahisi mke au girlfriend wangu akitumia simu mbovu, ni mimi natumia simu mbovu, i feel pain..

Nachopingaga mimi Ni mdada kuniomba hela muda mfupi baada ya kumtongoza, Au mdada kuingia kwenye mahusiano na mm sababu kaona nina hela ila moyoni hanipendi Lovie Lady
 
Wanaume sasa wapo wachache sana...Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom