Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Mkuu hiyo ni mitazamo yako tu,watu wanaishi katika mitazamo tofauti na uhalisia tofauti sana na vile tuwazavyo.
Sana..umenena sawai.
Ujue mfuko wa elim yetu unatu subject kwenye ku gauge vitu katika mtazamo sawaa.yan unachowaza wewe unataka ndio kiwe kipimo cha wengine..tatizo kubwa
 
Kabisa mkuu, dunia ya sasa sio ya kusema mtu flani ni mrembo bhasi atapata good life. Hata hawa wanaodanga wanatofautiana bei kutokana na hadhi zao bro. Anaefanya kazi au biashara kiasi cha kujigharamia hawezi kuhongwa elfu hamsini Ila kama ni mtoto mzuri na anakaa ghetto, hata elfu kumi atachukua.. Hiyo ndo tofauti, uzuri pekee hautoshi
Uko sahihi mdogo angu.Ila najua hujanimanya badoo ahahah
 
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?, au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
si kila mwanamke/binti mzuri awe malaya wa kujiuza ili awe na vitu vizuri vinavyoonekana kwa macho.
 
Jichanganye uone.
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?, au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu kilichofungwa kwenye rubber band, ukichunguza yuko kwenye relationship, najiuliza hao ni boyfriends wa namna gani? Kumpa girlfriend wako elf 25 arekebishe kioo cha simu au anunue kiswasawadu kizuri nayo ni gharama sana??

Au labda kuna behind the scenes ambazo sizijui..
 
Kabisa mkuu, dunia ya sasa sio ya kusema mtu flani ni mrembo bhasi atapata good life. Hata hawa wanaodanga wanatofautiana bei kutokana na hadhi zao bro. Anaefanya kazi au biashara kiasi cha kujigharamia hawezi kuhongwa elfu hamsini Ila kama ni mtoto mzuri na anakaa ghetto, hata elfu kumi atachukua.. Hiyo ndo tofauti, uzuri pekee hautoshi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu unakuta huyu wa ten anakatikaaa mpk unawezaa kojoaa ubongo na akilii wa 50 yy anafanya kiafsaa coz anajiona wathaman sanaaa,,

PESA ndio mchawi tuzisake mkuu
 
Ni kama mabinti waliojazana mwanza, shinyanga na njombe. Unakuta ni pisi kali hatari, amevaa vi clipper vimelika kisigino, nguo ina viraka. Ukimtongoza anakuambia niache nna bwana! Sasa unabaki unajiuliza huyu ana bwana au laana [emoji848]

Demu kukukatalia ni mtazamo wake binafsi. Si laana
Hujue how many guys they are hitting on her.
Una approach hataki muache simple as that
Forcing ndio unaanza kufanyiwa vituko
 
Si kila king'aacho ni dhahabu.

Upele humuota asiye na kucha/Penye miti hapana wajenzi.

Bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi.

UZURI WA MWANAMKE SIYO UREMBO BALI NI TABIA

Tuache kudanganyana Tabia haijawai kumshindisha mwanamke u miss Tanzania
Tabia haiwezi kukupa mkataba wa kua modor
Tabia haijawai kumshindisha mtu msa dunia
Uzuri ni uzuri na tabia ni tabia
Kipimo cha mwanamke ni uzuri sio tabia
 
Sio kwamba wanaishi maisha magumu ,ni kwamba wamekataa kuishi maisha ya kuigiza.
1678525696082.jpg
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza kama wewe. Ila nikagundua tatizo labda ni nyota. Maana unakuta ni mdada mkaleeeee hadi mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume ila maisha yake sasa. Na sio kwamba hana wanaume….. ana msururu wa wanaume ila wote hovyo. Akipewa sana ni buku 20.
 
Ni kama mabinti waliojazana mwanza, shinyanga na njombe. Unakuta ni pisi kali hatari, amevaa vi clipper vimelika kisigino, nguo ina viraka. Ukimtongoza anakuambia niache nna bwana! Sasa unabaki unajiuliza huyu ana bwana au laana [emoji848]
Katulia na bwana ake licha ya umaskin wao bado mnaona haifai. Akija kwako afate hayo matunzo bado mtasema wanawake tupo after money. Hamna jema nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza kama wewe. Ila nikagundua tatizo labda ni nyota. Maana unakuta ni mdada mkaleeeee hadi mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume ila maisha yake sasa. Na sio kwamba hana wanaume….. ana msururu wa wanaume ila wote hovyo. Akipewa sana ni buku 20.
20 nyingi sana kuna kipindi nilisha fika karatu niliona mabinti wazuri sana yani akikuona na laki ,unamwona anavyotetemeka kuja kuchunguza vizuri kumbe tabia zao mara nyingi ndio zinawaangusha
 
Back
Top Bottom