Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Hata mimi nilikuwa najiuliza kama wewe. Ila nikagundua tatizo labda ni nyota. Maana unakuta ni mdada mkaleeeee hadi mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume ila maisha yake sasa. Na sio kwamba hana wanaume….. ana msururu wa wanaume ila wote hovyo. Akipewa sana ni buku 20.
Naona ni bahati tu kupata bwana wa kutoa matunzo licha ya kuwa wazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app