Si kila king'aacho ni dhahabu.Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada...
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
Njoo Arusha uone pisi Kali zinayembeza soksi, mitumba na ndizi.
Wanaume wa Arusha shida ipo wapi jaman?
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada...
Mkuu hawatakiwi Kwan kufanya hvyo au ??Njoo Arusha uone pisi Kali zinayembeza soksi, mitumba na ndizi.
Wanaume wa Arusha shida ipo wapi jaman?
Kilaa mtu atafute Hela Kwa jasho lake na aitumie Kwa matumizi yake bila kupangiwa au cyo mkuu....Wakipenda pesa mnawasakama kuwa ni gold diggers, wakiwavumilia hustlers, mnaona kama hawatambui thamani zao. By the way katika kitu ambacho sikipendi kukiona kwa mwanamke ni kuchukulia uzuri wake kama chanzo cha kuishi good life ambalo hawezi kuligharamia hata kwa thumni.
Kiufupi hakuna haja ya kumlaumu boyfriend wa mtoto mzuri ilhali yeye hana kikwazo au upungufu wa kutafuta pesa.. Atafute mwenyewe
Kabisa mkuu, dunia ya sasa sio ya kusema mtu flani ni mrembo bhasi atapata good life. Hata hawa wanaodanga wanatofautiana bei kutokana na hadhi zao bro. Anaefanya kazi au biashara kiasi cha kujigharamia hawezi kuhongwa elfu hamsini Ila kama ni mtoto mzuri na anakaa ghetto, hata elfu kumi atachukua.. Hiyo ndo tofauti, uzuri pekee hautoshiKilaa mtu atafute Hela Kwa jasho lake na aitumie Kwa matumizi yake bila kupangiwa au cyo mkuu....
Mabinti wa kimeru hao akuna mwanaume makini anaweza poteza muda naoNjoo Arusha uone pisi Kali zinayembeza soksi, mitumba na ndizi.
Wanaume wa Arusha shida ipo wapi jaman?