Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

Wengine unakuta ni malaya kinoma,ila wana maisha magumu,simu mbovu,taiti imetoboka,na muda unampelekea moto,unakuta kuna wanaume wengine wanapiga simu au kutuma meseji,wanataka wakamfanyie MATUSI.
Kuna mmoja niliwahimwambia au hujifanyiagi tathmini,maana naona nimekuchunguza nikakuta una wanaume wengi,ila una maisha magumu,mi nilikua nakupa pesa na mahitaji mwngine,lakini naona kama hujielewi,unapigwapigwa tu,sasa sijui ni mimi tu ndo nakugharamia?
Kwakweli kichwa kisicho na akili ni mzigo unaofanya sehemu za siri ziumie.
 
Kwa nini unafikiri kila mdada anapaswa au anataka kuhudumiwa na boyfriend?
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…