Tukomae na Hill Water mkuu, kilimanjaro ndio basi tena, mitambo ifanyiwe overhauling, apatikane mtaalam wa kemia(kama wewe), then turudi sokini😀😀HILL NA DEW POINT NAHISI MMBADALA WA KILIMANJARO... ALAFU KILIMANJARO HAYANA UTAMU UMEISHA MITAMBO IMETUMIKA SANA
🙂🙂 MAMBO YENYEWE KAMA MBIO ZA MBIO, ANAEMALIZA 100 MITA NDIO MSHINDIWababa hawaibiwi wanajiibisha
Yote ni kukosa kazi tafuta kazi za kufanyaHumu wadada wengi Wana avatar mia Moja za kiume na zakike nimetafakari sana nanimeona kuwa huu sio ustaarabu umchafua mwanamke mwenzako Kisa mwanaume ambaye ni mume wa mtu ambaye ni amepiga umri wa kutosha .
Kala chumvi nyingi sana na bado anafamilia inamsumbua because yupo kwenye kitengo kizuri basi unamganda anamke huyoo.
Ndio chanzo chakutukanwa mie wewe kinyago nakujua na nimegundua Kuna vinyago humu vinawashwa na Mimi.
Huyo aliyenitukana ni mwanamke ambaye anadhani nipo na jamaa zake sijajua humu watu wanalipiwagwa Kodi,shopping na wanatafutiwa michongo yakazi humu watu wamezaa na michepuko Yao .
Sasa mtu akiona ninavyochart naye anajua huyu jamaa anaongeza kitu Kwa taarifa yenu msinizoeee kabisa.
Namjua mmoja na wawili Hawa ndumilakiwili wanaojidai kuandika andika positive comments unadhani ni wapendwa kumbe vigroup vinajazana ujinga eti mie na wachukulia vizee vyenu . Sina time navyoo mjue.
Na kama kuchoka na mambo yake kila mtu anachoka na mambo yake
Hivi inakuaje mtu huna shukrani jamaniIkiwezekana atupe list zote na za wale aliowatibu genye ila hawana shukrani
Cc Unique Flower
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mieee, sasa hiyo Tume ijipangee haswaaaah, tena naisubiri kwa hamu mnoo, mbna km inachelewa au niwasaidie mbinu ya kuunda fastaaaaa??UNAIBAAA WABABA WA WATU SANA HUMU, WANAKUUNDIA TUME WEWE WAUCHOME MOTO
😀😀😀 mitambo ya kilimanjaro ni chakavu, ni ya kutupwa kama vyuma chakavu.. na hiyo huwa ni kazi ya GlennTukomae na Hill Water mkuu, kilimanjaro ndio basi tena, mitambo ifanyiwe overhauling, apatikane mtaalam wa kemia(kama wewe), then turudi sokini😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuuuu.Naomba uniamini kipenzi changu[emoji1787][emoji1787]
Unique Flower , yaani unavyoona wewe unaijua hali yako wengine hawaifahamu kabisa.
Ninauhakika hali ikichafuka mtamkimbia🤣🤣Hahahahaaaa. Shauri yake. Yeye akijaa sisi tutamcheka tu
Yaani🤣🤣Na mnavyompekecha kichwa sasa..sasa hivi anaingia kingi🤣
Kama unamjuaa mtaje, avimbe kichwa akisikieee🏃🏃🤣Humu wadada wengi Wana avatar mia Moja za kiume na zakike nimetafakari sana nanimeona kuwa huu sio ustaarabu umchafua mwanamke mwenzako Kisa mwanaume ambaye ni mume wa mtu ambaye ni amepiga umri wa kutosha .
Kala chumvi nyingi sana na bado anafamilia inamsumbua because yupo kwenye kitengo kizuri basi unamganda anamke huyoo.
Ndio chanzo chakutukanwa mie wewe kinyago nakujua na nimegundua Kuna vinyago humu vinawashwa na Mimi.
Huyo aliyenitukana ni mwanamke ambaye anadhani nipo na jamaa zake sijajua humu watu wanalipiwagwa Kodi,shopping na wanatafutiwa michongo yakazi humu watu wamezaa na michepuko Yao .
Sasa mtu akiona ninavyochart naye anajua huyu jamaa anaongeza kitu Kwa taarifa yenu msinizoeee kabisa.
Namjua mmoja na wawili Hawa ndumilakiwili wanaojidai kuandika andika positive comments unadhani ni wapendwa kumbe vigroup vinajazana ujinga eti mie na wachukulia vizee vyenu . Sina time navyoo mjue.
Na kama kuchoka na mambo yake kila mtu anachoka na mambo yake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unique Flower
Wee shost lete hiyo list sasa, mwenzio huku chimbo kuna ubuyuu wa motooo naufuatiliaaa, na huu wa kwako sitaki unipiteeee.
Ntakufaaa miguu nimenyoosha juu, sio kwa heka heka hizi, mweeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninacho kiona humu.. jf asilimia kubwa watu wapendao chini.. sio Me wala KE.. hili jukwaa watu wanapenda sana hayo mamboo.. ushahidi fatilia mabandiko na idadi ya wachangiaji.. humu watakatifu tupo wachache sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Mmeanza tena!! Haya piganeni sasa.
Na mbona hawatuambii wengine tunakaa kizembe zembeKumbe watu wanalipiwa kodi na kupelekwa shopping humu sina taarifa mweeh [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini umejiondoa kwenye list🤣🤣🤣🤣🤣Ninacho kiona humu.. jf asilimia kubwa watu wapendao chini.. sio Me wala KE.. hili jukwaa watu wanapenda sana hayo mamboo.. ushahidi fatilia mabandiko na idadi ya wachangiaji.. humu watakatifu tupo wachache sanaaa
Glenn njoo ubebe kondoo wako huku asipotee
Naaaaam🙂🙂 MAMBO YENYEWE KAMA MBIO ZA MBIO, ANAEMALIZA 100 MITA NDIO MSHINDI
nyie humu mmezidi madhambiii aiseee.. hela watu hawana ila wao wanawaza matusi tu na kuchepuka na kuibiana kha! shetani mwenyewe anawaogopaSiamini umejiondoa kwenye list🤣🤣🤣🤣🤣
Ulikuwa wapi siku zoteeKumbe watu wanapata matunda kimasahara humu dah!!