Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

Humu wadada wengi Wana avatar mia Moja za kiume na zakike nimetafakari sana nanimeona kuwa huu sio ustaarabu umchafua mwanamke mwenzako Kisa mwanaume ambaye ni mume wa mtu ambaye ni amepiga umri wa kutosha .

Kala chumvi nyingi sana na bado anafamilia inamsumbua because yupo kwenye kitengo kizuri basi unamganda anamke huyoo.

Ndio chanzo chakutukanwa mie wewe kinyago nakujua na nimegundua Kuna vinyago humu vinawashwa na Mimi.

Huyo aliyenitukana ni mwanamke ambaye anadhani nipo na jamaa zake sijajua humu watu wanalipiwagwa Kodi,shopping na wanatafutiwa michongo yakazi humu watu wamezaa na michepuko Yao .

Sasa mtu akiona ninavyochart naye anajua huyu jamaa anaongeza kitu Kwa taarifa yenu msinizoeee kabisa.

Namjua mmoja na wawili Hawa ndumilakiwili wanaojidai kuandika andika positive comments unadhani ni wapendwa kumbe vigroup vinajazana ujinga eti mie na wachukulia vizee vyenu . Sina time navyoo mjue.

Na kama kuchoka na mambo yake kila mtu anachoka na mambo yake
Nakupenda
 
Ninauhakika hali ikichafuka mtamkimbia[emoji1787][emoji1787]
Kiukweli sijawahi kuelewaga nyuzi za huyu ndugu mwananchi Kwa asilimia 100
Aaaaah kukichafuka itabidi apambane tu mwenyewe kwa kweli.. nyuzi zake zinaonyesha kama kuna kitu hakiko sawa na mwenyewe hajui anaona yuko Sawa tu
 
Ninacho kiona humu.. jf asilimia kubwa watu wapendao chini.. sio Me wala KE.. hili jukwaa watu wanapenda sana hayo mamboo.. ushahidi fatilia mabandiko na idadi ya wachangiaji.. humu watakatifu tupo wachache sanaaa

Glenn njoo ubebe kondoo wako huku asipotee
Watakatifu wenzio kina nani mkuu? Nataka mtakatifu mmoja anigawie upako
 
nyie humu mmezidi madhambiii aiseee.. hela watu hawana ila wao wanawaza matusi tu na kuchepuka na kuibiana kha! shetani mwenyewe anawaogopa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu achana na wazinifu wa humu kwanza!!
Ule mchongo niliokutuma umefikia wapi?
 
Ndio hivyo[emoji1787][emoji1787]
Ehee unamnasa bj nzito sana mpka apoteze kumbukumbu Kwa muda..akija kustuka ni kukuulizia “babe kumbe ulivunjika meno Kwa muda”

[emoji28][emoji28]Pumbavu kabisa bj
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah wee dear nifundisheee bas.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣
Bichwa lako, mnaijeria wa wapi? Mie nilikutuma unitafutie kazi niachane na ujobless.
Si huyo Mnaija ndio kazi yenyeweee 😎 😎

Una cheti cha uchungaji kuna kanisa lina ajiri wachungaji kwa ajiri ya kuziba mapengo ya wastaafu.. katika idara mbali mbali
 
Back
Top Bottom