Wadada wenzangu hii sio poa

TATIZO ELIMU, UMASKINI WA MATUMIZI MAbaya YA AKILI ZAO.. KUNA WANAWAKE KWA MABINTI HUMU NDANI WAPO VERY SMART HADI RAHA.. NILISHA BAHATIKA KUKUTANA NA KADHAA NA MMOJA WAO NI MKURUGENZI WA IDARA FLANI HUWEZI MKUTA KWENYE MISUTO NA KASHI KASHI KAMA ZA WAHUNI FLANI... NAOMBA WASINIHARIBIE NA KADOGO KANGU KA Pellaiah
 
Amtag vip mtu am aye hausiki We Furahia ya wenzio lako laja ukiteleza kidogo tu umooo🤣🤣🤣
Namalizia na hitimisho
Hitimisho au vitisho?😅

Kuwa na huruma we Mwanamke
 
Yaani mimi nipo hapa alafu unatukanwa kisa Wanaume wasio jielewa njoo kwa 92 nikufute machozi😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Pellaiah ni mdudu flani mwenye akili sema wengi hamuelewi
 

Hatimae umeamua kujitokeza mwenyewe eeeh?😂😂

Uzi ufungwe huu, upelelezi umekamilika.
 
Halafu sijui kwanini wanawake wazuri sn kwa shape,sura n.k huwa hawanaga akili.Kuna mmoja huku Namtumbo ni mzuri jamani but akili hewa kabisa
Chakula kingi na Energy kubwa ya mwili inatumika kuyalisha na kuyamaintain matako badala ya ubongo
 
Mvua inanyesha ukalime acha umbea dogo langu[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umbeaaa nakosajeee sasa?? Niko chimbooo hapa napataaa udakuui mwingneeee, mtu na rafiki ake wameibiana bwanaaa, kilanga komooo,

Walienda club ku slay cha ajabu bwana akatoka na rafik yakee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Huna dudu unamiliki Bomba sio la maji mrija umepauka Huna hata hela Huna hadhi unasura kama visheti na umekomaa kama viatu vya Petro nani kakuambia nitaishi milele nyumba zakupanga unanijua sana eh basi unaishi kama ndege Huna makao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…