Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umbeaaa nakosajeee sasa?? Niko chimbooo hapa napataaa udakuui mwingneeee, mtu na rafiki ake wameibiana bwanaaa, kilanga komooo,

Walienda club ku slay cha ajabu bwana akatoka na rafik yakee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongoo
 
Wewe Huna dudu unamiliki Bomba sio la maji mrija umepauka Huna hata hela Huna hadhi unasura kama visheti na umekomaa kama viatu vya Petro nani kakuambia nitaishi milele nyumba zakupanga unanijua sana eh basi unaishi kama ndege Huna makao
tuachane nahayo vipi mama mkwe hajaondoka nikutumie nauli uje tuinjoi?
 
TATIZO ELIMU, UMASKINI WA MATUMIZI MAbaya YA AKILI ZAO.. KUNA WANAWAKE KWA MABINTI HUMU NDANI WAPO VERY SMART HADI RAHA.. NILISHA BAHATIKA KUKUTANA NA KADHAA NA MMOJA WAO NI MKURUGENZI WA IDARA FLANI HUWEZI MKUTA KWENYE MISUTO NA KASHI KASHI KAMA ZA WAHUNI FLANI... NAOMBA WASINIHARIBIE NA KADOGO KANGU KA Pellaiah
Mkuu utashangaa hata wanaoandika wengine hapa ni wakurugenzi kwenye idara. Binadamu anaweza kuishi kutokana na mazingira, ndio maana baba anaegopewa home akija mtaani tunamtuma ice kaunta na tunacheza nae singeli. Kwahiyo hata wanaoandika huku usidhani wote wapo tuuu kisa wamechagua JF kuwa kijiwe cha kufanyia ujinga wao. Kuna member ana ID kama 3 za kufanyia upuuzi I swear ukimjua nje ya JF ukiambiwa huyu ndie anaeandikaga upupu JF utabishana milele

#LeoNimekuaSerious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tuachane nahayo vipi mama mkwe hajaondoka nikutumie nauli uje tuinjoi?
Wewe ni mwehu Huna akili unadhani unanitusi halafu ulete upuuzi wako tu chai acha bangi wewe mpuuzi mie sio Malaya uliowazoea unawatishia wanakuja haraka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umbeaaa nakosajeee sasa?? Niko chimbooo hapa napataaa udakuui mwingneeee, mtu na rafiki ake wameibiana bwanaaa, kilanga komooo,

Walienda club ku slay cha ajabu bwana akatoka na rafik yakee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni members huku? Mambo ni mengi sana aiseee
 
Mkiwaendekez sana Wanaume, watawadhalilisha sana..

Kama una bwanako anakitengo wee acha kumpiga vimizinga vya mboga mboga.

Piga mzinga mkubwa, ili ukusaisie kurun kanibiashara Fulani Ili siku bwanako akisusa.

Usilie lie.
 
Humu wadada wengi Wana avatar mia Moja za kiume na zakike nimetafakari sana nanimeona kuwa huu sio ustaarabu umchafua mwanamke mwenzako Kisa mwanaume ambaye ni mume wa mtu ambaye ni amepiga umri wa kutosha .

Kala chumvi nyingi sana na bado anafamilia inamsumbua because yupo kwenye kitengo kizuri basi unamganda anamke huyoo.

Ndio chanzo chakutukanwa mie wewe kinyago nakujua na nimegundua Kuna vinyago humu vinawashwa na Mimi.

Huyo aliyenitukana ni mwanamke ambaye anadhani nipo na jamaa zake sijajua humu watu wanalipiwagwa Kodi,shopping na wanatafutiwa michongo yakazi humu watu wamezaa na michepuko Yao .

Sasa mtu akiona ninavyochart naye anajua huyu jamaa anaongeza kitu Kwa taarifa yenu msinizoeee kabisa.

Namjua mmoja na wawili Hawa ndumilakiwili wanaojidai kuandika andika positive comments unadhani ni wapendwa kumbe vigroup vinajazana ujinga eti mie na wachukulia vizee vyenu . Sina time navyoo mjue.

Na kama kuchoka na mambo yake kila mtu anachoka na mambo yake
Mbona ghafla mhh ngoja tytulie tutazid kuona mengi
 
Inatoka wapi?[emoji23] wazalishane watajua wenyewe. Tena wadada kuna code mpya ntawapa ila wababa wasijue. Kidokezo tu ni kwamba ukijua amezaa nje usimuulize unakua umempa urahisi wa kujielezea. Mambo ni mengi mda mchache. Michepuko mtajua pa kwenda ila majumbani wanarudi kuja kula tena kwa bashasha[emoji23]
I second you, ukijua kausha kama hujui sababu ukimuuliza tuu akakubali unakuwa kama umehalalisha ataanza kuhudumia bila kificho, watawasiliana kwa uhuru since hana cha kukuficha na kuogopa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu utashangaa hata wanaoandika wengine hapa ni wakurugenzi kwenye idara. Binadamu anaweza kuishi kutokana na mazingira, ndio maana baba anaegopewa home akija mtaani tunamtuma ice kaunta na tunacheza nae singeli. Kwahiyo hata wanaoandika huku usidhani wote wapo tuuu kisa wamechagua JF kuwa kijiwe cha kufanyia ujinga wao. Kuna member ana ID kama 3 za kufanyia upuuzi I swear ukimjua nje ya JF ukiambiwa huyu ndie anaeandikaga upupu JF utabishana milele

#LeoNimekuaSerious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waeleze mama.
Tunavyocheka hapa na kutania wanafikiri ni wapuuzi flani🤣🤣🤣🤣
Vipi Jack wetu hajambo?🤣
 
Mkuu utashangaa hata wanaoandika wengine hapa ni wakurugenzi kwenye idara. Binadamu anaweza kuishi kutokana na mazingira, ndio maana baba anaegopewa home akija mtaani tunamtuma ice kaunta na tunacheza nae singeli. Kwahiyo hata wanaoandika huku usidhani wote wapo tuuu kisa wamechagua JF kuwa kijiwe cha kufanyia ujinga wao. Kuna member ana ID kama 3 za kufanyia upuuzi I swear ukimjua nje ya JF ukiambiwa huyu ndie anaeandikaga upupu JF utabishana milele

#LeoNimekuaSerious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijahatimisha, nimesema kuna walio smart sana humu na wapo walio makasha 🙂 🙂 🙂
Najua humu kuna watu vichwa sana na makasha yapo kwa sanaaa tu kuna kila aina ya ubongo humu...

humu si tunakuja ondoa stress, sio pakuumiza sana akili kwa waja wa humu unaweza umia kichwa kumbe mtu anaondoa stress zake... huyo mwenye ID tatu si ndi wewe.. hujisemi tu kwakua hupendi kiki... si kama Bishanga enzi hizoo 😀😀😀
 
Back
Top Bottom