Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

yuniq toa hio picha kwenye avator haiendani nawewe kishundu chenyewe huna unamiliki flat cren.halafu unataka uhongwe gari unaakili kweli wewe?juu minyonyo debe chini ngongingo.pole sana hunahazi yakujengewa nyumba utaishia kupanga vyumba hivyo hivyo viwili nakupanda bodaboda chizi wee.
Jamani usifanye hivi bhana sio fresh chief🥺🥺🥺🥺
 
Wewe Huna dudu unamiliki Bomba sio la maji mrija umepauka Huna hata hela Huna hadhi unasura kama visheti na umekomaa kama viatu vya Petro nani kakuambia nitaishi milele nyumba zakupanga unanijua sana eh basi unaishi kama ndege Huna makao
Hey acha hizi mambo sisy..
Unakoelekea ni kudhalilishwa.najua inaleta hasira lakini kuwa imara.
Usitukanane huku mitandaon mama….

Please
 
Na kuna wengine wanajifanya wana life fulani ambalo hawana. Nimebahatika kuwajua watu wawili na ID zao za jf. Mmoja namfahamu face to face namfahamu in out.
Mwingine alikuwa rafiki kwa muda mrefu zamani sana namfahamu kwa pics bahati mbaya baadae nikajua ID yake ya JF aliscreenshot kitu akareveal ID bila kujua yaani mambo anayoandika humu na alivyo ni tofauti kabisa.
Kwanza kutwa kuwaponda kina dada humu anajikuta someone matawi wakati mshamba balaa.
Basi watu wanamsifiaga me nawachora tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo patanuka humu soon
Ila humu ni ku fake tu niliweka uzi wa mschana anatafuta kazi maboss wote kimya mpaka yule binti akaenda kufanya kazi lodge kaenda siku mbili wateja wote wanamtaka (anavuti ndio) Binti imebidi aache kazi
 
Waeleze mama.
Tunavyocheka hapa na kutania wanafikiri ni wapuuzi flani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi Jack wetu hajambo?[emoji1787]
Jack wote hawajambo ila sijui wewe umemuuliza yupi kati yao
 
Back
Top Bottom