Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

Kwa style hii huu uzi utafika mbali sana aiseeh.

Hapo marafiki zako wakisoma hii comment lazima wakae chonjo, kila raia atahisi umempoint yeye[emoji23][emoji23]..!
Halafu yeye hajui kama niliiona ID yake mpaka leo na ilikuwa miaka kama 6 nyuma. Anayejua naijua ID yake hana mambo ya kuanzisha nyuzi za kijinga achana na kuwaponda wanawake so hata akisoma atajua tuu yeye sio mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona Usha kua sawa.tatizo pombe zinakuchanganya hazikupendi.vipi leo unatoka wee mchaga?
Hivi unajua Kwa siku wananipm wanaume wangapi?? 20 x 31 x 12=ni ngapi ??
Ndio maana watu wanatukana humu ikiwemo wewe na flat screen yangu kinachokuwasha Nini?
Bora hata Mimi natingisha wako ni kitu mraba halafu hata la kukalia Hana
 
kwahio sasaivi unaniona wakike mwenzio sio?
 
Halafu yeye hajui kama niliiona ID yake mpaka leo na ilikuwa miaka kama 6 nyuma. Anayejua naijua ID yake hana mambo ya kuanzisha nyuzi za kijinga achana na kuwaponda wanawake so hata akisoma atajua tuu yeye sio mhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sema huku Jf kuna watu wanajikuta kuwa na life kubwa kumbe ni kawaida au pengine wanahitaji msaada kabisa.

Kwanza huku Jf si tulikubaliana kila mtu ana gari? Kasoro mimi tu😂😂
 
Unaringa ukiitwa mie nawengi nawapanga mstari halafu hakuna ambaye hana gari ya maana wote wanayo hoteli tunazolala ni za maana Sasa upo??
Waite waje haraka.
Mimi huwa sigombani so sina msaada ktk hivyo vita sijui mlikoanzia
 
Leo patanuka humu soon
Ila humu ni ku fake tu niliweka uzi wa mschana anatafuta kazi maboss wote kimya mpaka yule binti akaenda kufanya kazi lodge kaenda siku mbili wateja wote wanamtaka (anavuti ndio) Binti imebidi aache kazi
Wanasema fake it untill you make it. Ila JF wamezidi kufake sana mpaka ukifikiria maisha yako unajiona ni mpweke usiye na direction kabisa kumbe mara mia na wewe. Mtu anakwambia lete CV au mawasiliano PM unatuma halafu anakauka kimya kumbe nae jobseeker kama wewe tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema fake it untill you make it. Ila JF wamezidi kufake sana mpaka ukifikiria maisha yako unajiona ni mpweke usiye na direction kabisa kumbe mara mia na wewe. Mtu anakwambia lete CV au mawasiliano PM unatuma halafu anakauka kimya kumbe nae jobseeker kama wewe tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
What????
Aisee upo dar kajichanganye
 
Ngoja ntarudi baadae kusoma hii thread kwa umakini mkubwa sana
all in all pole mkuu..
 
Back
Top Bottom