Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

Oo jaman,sa mie ninaecheka na kila avatar si ndo nitauawa.Waambie humu tunachat tu...afu kama ni wake kwann uumie.Achana nao cute Unique Flower
 
Sweetheart,
Una upendo wa dhati moyoni mwako, ule upendo mkubwa usio na mawaa na wa ukweli...??
Hicho ndiyo kitu pekee anahitaji mdogo wangu Glenn
Asante kwa hiyo tip dear

Wacha nijitafakari vema na kurekebisha pale ambapo pana hitilafu siku moja niweze kukaa meza moja na huyu mdudu wa kuitwa Glenn
 
Mkeo ni kitu miraba minne .

Halafu umeniambia Sina wezere asilimia 90 ya hao wanaoleta kwenye nyumba za kawaida maana hawajui kukaikalia vyema siye unaona tunaitwa Malaya tunajua kuikalia hadi wanadata wanachanganyikiwa
unajua kuikalia wapiii.wakati umeendekeza pesa mbele minyonyo imemwagika Kama vile unanyonyesha ndama.nakushauli toa hio avata weka picha yako ili watu wasihangaike kupoteza mda wao kwako
 
Sema huku Jf kuna watu wanajikuta kuwa na life kubwa kumbe ni kawaida au pengine wanahitaji msaada kabisa.

Kwanza huku Jf si tulikubaliana kila mtu ana gari? Kasoro mimi tu[emoji23][emoji23]
Hahahaa mimi navuta BMW mpya tarehe za mwanzoni za mwezi january nipo namalizia na ujenzi site yangu Goba hapo[emoji23][emoji23][emoji23].
Jf bhna ukiangalia mtu kutwa ananzisha nyuzi za kuwaponda wanawake mpaka anatuvua nguo while kila siku anashindia kajezi ka Arsenal na zile sendo za maandishi juu Supreme sijui na kadeti feki imepauka wee.
Ipo siku yake namlia timing tuu na hivi hanijui hata kama nipo JF atajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua kuikalia wapiii.wakati umeendekeza pesa mbele minyonyo imemwagika Kama vile unanyonyesha ndama.nakushauli toa hio avata weka picha yako ili watu wasihangaike kupoteza mda wao kwako
Mie najua unataka manyonyo mie Sina hayo makubwa kama yamkeo utazani nigoliati kajaza kifua kama muuza supu halafu mwanamke anaye nyanyua chuma??

Ai acha hizo akija jioni akikulalia utazani gogo halafu akikulalia walahi unaita majirani hata wasichana wako wameshaanza kuwa flat umemsahau yule wa miaka 14 kaaa mama Ake tayari anavaa brazia ya watu wazima na ashavezewa yamelala
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjini kuna mambo haya wadangaji katika kupambania kombe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjini kuna mambo haya wadangaji katika kupambania kombe
Hata wewe ni mdangaji kumbuka kazi unayoifanya ni maua alikuambia usipolala naye kazi Huna Kwa maana wewe ulikuwa wanakutegemea ukakubali Leo unakasimu na kabandi kamshahara wa mwalimu au kakarani upo busy kusema watu hata maua alidai wewe sio mtamu Wala hujui manjonjo unamwaga mwaga tu pasipi ushirikiano unadata mapema pasipo mchezo kuisha tunaitaga akili ya kuku
 
Back
Top Bottom