Wadada wenzangu hii sio poa

Nilikua sijui kwamba humu JF kuna watu wanafahamiana kiasi hiki. Nilijuaga wote humu ni anonymous, kumbe mpk watu wanapigana vijembe kama magrp ya Wassup na Sijui. Duh kazi ipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani usiku mmoja unataka nikupe laki tatu? Wakati riverside hiyo pesa nachakata mbususu kwa kwenda mbele.
 
😂😂😂😂😂jamani..

Inaelekea una Siri nyingi sana hongera lakini 😘😘😘
 
Wacha basi🤣🤣

Ila humu jf kuna watu wa maana sana ndugu yangu.

Kitu unachoongea /andika humu ndani ndio kitakachokuchagulia watu wako huku.

Ai….kuna watu na viatu humu jf.Inaelekea unakutanaga na viatu..Ila kuna watu wazito sana humu


Nakupendaga bure Kwa sababu ya confidence yako my love..👊👊
 
Niliogopa kama vile ulihisi namaanisha..pole na samahani S C plz
Usijali kuwa na Amani.

Tatizo unaweza kutania humu wakulungwa wakayabeba kama yalivyo wakaanza mbwembwe nyingi.

Sipendagi mambo mengi

Pole pia kama nilikukwaza G..okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…