Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

Oooh kumbe umeambiwa tu? Achana na maneno ya kusikia zidisha mapenzi kwa huyo mpenzi wenu mpaka mchepuko mwenzio akili imkae sawa.
Kuchambana kisa wanaume mambo ya zamani sana shoga angu
Sina mtu humu ndani
 
😀😀😀
Hivyo VITOTO VYA chuo ndio kiboko yenu wadada wakubwa na wale Wanawake mlioolewa.
Tena Ukute kinajua ushirikina
Mkuu we acha tu🤣🤣🤣 tunashinda tunasali tunasema eeh Baba, naomba Baba nanilii akiwa anatembea huko akiviona hivi vidada asihamie mazima🤣 msituone hivi tunasali sala ndefu vitoto ni vichawiii balaa vinashindwa kula kimyakimya vinataka vimtoe mama mwenye nyumba.

Nna rafiki yangu alikua anataka nimshauri anataka kupaki mabegi kisa mchepuko wa mmewe anamsumbua sana anasema ye pia ni mke mwenza. Nikamwambia usinyanyue mguu humo ndani hao wanakupanikisha ili utoke aje yeye. Nikawambia bora hata mkimbizane humo ndani na baba nanii sisi wa nje tusijue ila sio uache nyumba yako kisa kipussy cha chuo. Jana niliwaona mke na mume wako zao out nikasema sasa je mambo si ndo hayo. Saizi michepuko hatuwaachii nyumba. Hawa wababa tunashikamana nao hadi kiama rogeni tu mlipiwe kodi ila majumbani watakuja kula tulichowapikia🤣🤣
 
Mwaya Unique Flower hiyo siku hatukua hewani, tusamehe bure
Ila nakuhakikishia leo tuko bega kwa bega na wewe.

Hivyo hapa nilikua naenda sokoni ila nimesimama mahali nasubiria uwataje nikupambanie na sokoni siendi tena, huoni navyokujali?

Haya watajeeeeee
Mimi nimestop hadi kwenda kuoga 😹😹

Unique Flower usitupotezee muda

Au tukuchambe wewe sasa 🤣
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu we acha tu🤣🤣🤣 tunashinda tunasali tunasema eeh Baba, naomba Baba nanilii akiwa anatembea huko akiviona hivi vidada asihamie mazima🤣 msituone hivi tunasali sala ndefu vitoto ni vichawiii balaa vinashindwa kula kimyakimya vinataka vimtoe mama mwenye nyumba.

Nna rafiki yangu alikua anataka nimshauri anataka kupaki mabegi kisa mchepuko wa mmewe anamsumbua sana anasema ye pia ni mke mwenza. Nikamwambia usinyanyue mguu humo ndani hao wanakupanikisha ili utoke aje yeye. Nikawambia bora hata mkimbizane humo ndani na baba nanii sisi wa nje tusijue ila sio uache nyumba yako kisa kipussy cha chuo. Jana niliwaona mke na mume wako zao out nikasema sasa je mambo si ndo hayo. Saizi michepuko hatuwaachii nyumba. Hawa wababa tunashikamana nao hadi kiama rogeni tu mlipiwe kodi ila majumbani watakuja kula tulichowapikia🤣🤣
😂😂
 
Poleni Sana Dada zangu.

Maisha ni vita ya kuwania vitu vizuri.
Ukizubaa hata Mali zako utanyang'anywa.
 
Back
Top Bottom