Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Mkuu ishu sio hela..Ishu ni kuwa huyo mtu anakufikiriaje?? Na kama mtu mwenye akili timamu huwezi tu kumpa mtu hela eti kwa sababu unazo..Mazingira yamesababisha niwaze kwanza.Mkuu yaani elfu hamsini tu ndio kelele zote hizo. Kama hauna unakaa kimya tu sio unawatangazia watu au unataka tukuazime hiyo hela?
Usiishi na mwanamke kwa akili kubwaKuna kidemu flani tumewasiliana kama wiki tu...Sijakitongoza wala nini, sasa jana kimeniomba elfu hamsini eti kimepatwa na shida na hakina pa kukimbilia. Nikakizingua nikakiambia nikipata ntakitumia hiyo ndo imetoka..
Najiuliza tu, huyu dogo ana ndugu na ana wazazi how comes mtu ambae hata hamjui vizuri ampige mzinga?? Anaona nina hela sana au ananiona bushoke?? Huyo bwaba ake kwa nini asimuombe?? Anadhani hela zipo zinamsubiri yeye tu?? Anawapiga mizinga wangapi?? Mm demu akishaanza na mizinga hata kama nna nia nae mzuka unakata ghafla.
Dada zetu hata kama mna njaa msionyeshe kiuwazi hivyo,fikirieni kidogo kabla ya kupiga mizinga.
Njaa nyingine noma sana...Inamana nisingewasiliana nae angemuomba nani??Hapa hapati kituIla mizinga inaboa yaani mtu unajionyesha ka una dhiki flani hiviiii.......
Labda na yeye amewaza kuwa wewe shida yako ni kumgegeda so amejiongeza tu , Kwa sababu haya maisha yalivyo kila mtu anajiongeza tu sasa hivi,.Mkuu ishu sio hela..Ishu ni kuwa huyo mtu anakufikiriaje?? Na kama mtu mwenye akili timamu huwezi tu kumpa mtu hela eti kwa sababu unazo..Mazingira yamesababisha niwaze kwanza.
Wataqaibia hao hao wasiojielewa..Hadi wakati huu hujatuzoea tu wanawake??sa ivi pesa mbele aibu tupa kule
Kuna watu wapo mjini kwa pesa za wanaume tu
Dhiki kila mtu anayo ila inategemea unamshirikisha nani ili aitatuesasa nafichaje dhiki?
Basi anipe hiyo papuchi then tufanye biashara..Mm mtu mjanja mjanja hanipati.Labda na yeye amewaza kuwa wewe shida yako ni kumgegeda so amejiongeza tu , Kwa sababu haya maisha yalivyo kila mtu anajiongeza tu sasa hivi,.
sasa nafichaje dhiki?
haya ila ukiingia kizembe zembe nakupiga tuDhiki kila mtu anayo ila inategemea unamshirikisha nani ili aitatue
hapo sasa me nikiwa na shida aibu naweka uvunguniHapo sasaaa.... shida imekuja wiki1 baada kutongozana aifiche kwa nini na ukute bwana aliahidi kusimamia show zote
Hapo sasaaa.... shida imekuja wiki1 baada kutongozana aifiche kwa nini na ukute bwana aliahidi kusimamia show zote