Wadau hiki kizinga niaje!!

Wadau hiki kizinga niaje!!

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,937
Reaction score
3,959
Kuna kidemu flani tumewasiliana kama wiki tu...Sijakitongoza wala nini, sasa jana kimeniomba elfu hamsini eti kimepatwa na shida na hakina pa kukimbilia. Nikakizingua nikakiambia nikipata ntakitumia hiyo ndo imetoka..

Najiuliza tu, huyu dogo ana ndugu na ana wazazi how comes mtu ambae hata hamjui vizuri ampige mzinga?? Anaona nina hela sana au ananiona bushoke?? Huyo bwaba ake kwa nini asimuombe?? Anadhani hela zipo zinamsubiri yeye tu?? Anawapiga mizinga wangapi?? Mm demu akishaanza na mizinga hata kama nna nia nae mzuka unakata ghafla.

Dada zetu hata kama mna njaa msionyeshe kiuwazi hivyo,fikirieni kidogo kabla ya kupiga mizinga.
 
We nawe si ungempa tu hela yenyewe ndogo na sio kizinga kwamba ni demu wako, si ni rafiki tu? Hela zinatafutwa kaka hahhahaaaa!!!!!!
 
Mkuu yaani elfu hamsini tu ndio kelele zote hizo. Kama hauna unakaa kimya tu sio unawatangazia watu au unataka tukuazime hiyo hela?
Mkuu ishu sio hela..Ishu ni kuwa huyo mtu anakufikiriaje?? Na kama mtu mwenye akili timamu huwezi tu kumpa mtu hela eti kwa sababu unazo..Mazingira yamesababisha niwaze kwanza.
 
Kuna kidemu flani tumewasiliana kama wiki tu...Sijakitongoza wala nini, sasa jana kimeniomba elfu hamsini eti kimepatwa na shida na hakina pa kukimbilia. Nikakizingua nikakiambia nikipata ntakitumia hiyo ndo imetoka..
Najiuliza tu, huyu dogo ana ndugu na ana wazazi how comes mtu ambae hata hamjui vizuri ampige mzinga?? Anaona nina hela sana au ananiona bushoke?? Huyo bwaba ake kwa nini asimuombe?? Anadhani hela zipo zinamsubiri yeye tu?? Anawapiga mizinga wangapi?? Mm demu akishaanza na mizinga hata kama nna nia nae mzuka unakata ghafla.
Dada zetu hata kama mna njaa msionyeshe kiuwazi hivyo,fikirieni kidogo kabla ya kupiga mizinga.
Usiishi na mwanamke kwa akili kubwa
 
Ila mizinga inaboa yaani mtu unajionyesha ka una dhiki flani hiviiii.......
Njaa nyingine noma sana...Inamana nisingewasiliana nae angemuomba nani??Hapa hapati kitu
 
Mkuu ishu sio hela..Ishu ni kuwa huyo mtu anakufikiriaje?? Na kama mtu mwenye akili timamu huwezi tu kumpa mtu hela eti kwa sababu unazo..Mazingira yamesababisha niwaze kwanza.
Labda na yeye amewaza kuwa wewe shida yako ni kumgegeda so amejiongeza tu , Kwa sababu haya maisha yalivyo kila mtu anajiongeza tu sasa hivi,.
 
Basi anipe hiyo papuchi then tufanye biashara..Mm mtu mjanja mjanja hanipati.
 
Yaani kuomba ka elfu hamsini (kahela ka mboga) ndio mapovu hadi umetupia thread humu! Hebu mpe mwenzio. Labda wewe mwenyewe ulijitangazia na kujionyesha kwake kuwa mambo yako ni super
 
Hapo sasaaa.... shida imekuja wiki1 baada kutongozana aifiche kwa nini na ukute bwana aliahidi kusimamia show zote

Tena si ajabu aliahidi kusimamia hizo show hata kwa ukucha
 
Back
Top Bottom