Wadau hiki kizinga niaje!!

ndio maana good man wanakuwa disaponted san asa hivi...nimekutana na mmoja nkawa namsalimia mi ndio naanza tu..wiki siku mbili tatu nikakausha ...wiki ikakata siku kansalimi aanasemesha hali nikshangaa kukaa kidogokizinga....nkasema haya ntakupa siku fulani ilaukweli simpi maana kanifanya boya wa kuigwa kizinga tu...wakatinilikuwanataka niaznsie friendshipnzuri ikibidi niwe namhudumia akikaa sawa,.siokwamba sinauwezo wa kumpa naangalia na akili zaka anavokuja....yani akitaka helandio anajifanya kuchangamka na salamu...
 
Ungemwambia yeye haya unayosema huku,ingesaidia sana.

Au mtag kwenye hii thread kama yupo JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…