Wadau hiki kizinga niaje!!

Labda na yeye amewaza kuwa wewe shida yako ni kumgegeda so amejiongeza tu , Kwa sababu haya maisha yalivyo kila mtu anajiongeza tu sasa hivi,.
haahaaaa mkuu na yye kastuka .....mawasiliano ya nn kwan ye customer care
 
Yani huo mzinga assumu amewapiga watu 10, hakosi laki mbili.
 
Kijana soma kwanza umalize elimu yako, hayo mambo mengine waachie wenye uwezo nayo .....
 
Mi juzi nimepigwa mzinga na dem sijammega ndo vile iahatoka hivyoo
 
ni aibu kumwambia mwanaume kuwa humtaki ilaaaa unajiongeza unamuomba hata laki 5 unapiga kimya unasubiri majibu

ukiona mwanamke amekuomba ujue wewe ni bahili hujiongeziiiii

nb: mwanamke akipenda mwanaume hawezi kumuomba hela unless awe na shida kubwaaab na wana mda mrefu kwenye mahusiano..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…