sasa mfano ww upewe ngap ndo unaridhika unaweza unatoa ? Maana wengine ni mateja wa kupiga mizinga,,, anapiga tuuuu...ukisema njoo anakuambia tuma nauli, ukituma anakuambia amepata dharura inakuwa mwendelezo wa mizinganautawakosa hivihivi utaishia kuwaita MASHEMEJI kwa ubahili wako.
kuna uzi wangu nlishasema km umekutana na binti alafu akakuomba hela kabla ya masaa 48 hayajapita na unampango wa kumuoa jiandae kisaikolojia kuwa huyu anahitaji hela mda wote co unalialia tu.sasa mfano ww upewe ngap ndo unaridhika unaweza unatoa ? Maana wengine ni mateja wa kupiga mizinga,,, anapiga tuuuu...ukisema njoo anakuambia tuma nauli, ukituma anakuambia amepata dharura inakuwa mwendelezo wa mizinga
Angepatikana mwingine wa kuombwaNjaa nyingine noma sana...Inamana nisingewasiliana nae angemuomba nani??Hapa hapati kitu
Usiseme ivyo bhana, karoho kangu kanaumaa...Hadi wakati huu hujatuzoea tu wanawake??sa ivi pesa mbele aibu tupa kule
Kuna watu wapo mjini kwa pesa za wanaume tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Usiseme ivyo bhana, karoho kangu kanaumaa...
Nilikua nakumendea sasa unanipunguza speed... Hahaha
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe Jerrymalisa ni wakiume
Seriously nilijua wakikeSeriously
Seriously nilijua wakike
Asa malisa si mwanamke uyo
miss chagga ni ndugu yako??Surname iyoo... Muulize miss chagga
miss chagga ni ndugu yako??
[emoji106]we from the same zone
Sasa nimeelewa.Hadi wakati huu hujatuzoea tu wanawake??sa ivi pesa mbele aibu tupa kule
Kuna watu wapo mjini kwa pesa za wanaume tu
At least ushanielewee...[emoji106]
wanaume ni wagumu kweli kuelewaHadi wakati huu hujatuzoea tu wanawake??sa ivi pesa mbele aibu tupa kule
Kuna watu wapo mjini kwa pesa za wanaume tu
Wanakua kama ni wageni wa vizingawanaume ni wagumu kweli kuelewa
ni mobilization costInaitwa ADV. PAYMENT
wanaume wangejua jinsi wanawake wanaopiga mizinga walivo na mapenzi ya dhati sijui wangesemajealikua anakupima tu je ni mtoaji