Wadau hiki kizinga niaje!!

wanaume wangejua jinsi wanawake wanaopiga mizinga walivo na mapenzi ya dhati sijui wangesemaje
hawajui maskin, af kingine unampima tu je ni mtoaji au mkono wa birika uchukue maamuzi yako mapema kabla haujaliwa
 
Mi huwa nawapa na mawasiliano na mipango yote nasitisha namwacha akilalamika tu kuwa nimekuwa kimya hadi nae anakata link.

Ila nashangaa wengi wao ni 20K mpaka najiuliza yule mwalimu wao kipofu ndo kawapa maagizo hayo au!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…