Wadau Huyu Fei Toto Mnamuonaje??

Wadau Huyu Fei Toto Mnamuonaje??

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Achana na performance ya Samagoal au Msuva.. Au ile ya mabeki visiki Yondani, Gadiel, Nyoni na Kapombe.. Baada ya mechi ya jana kelele zilisikika toka kwa mashabiki hususani wale wa Yanga kua Feisal a.k a Fei Toto atosha.

Wanadai kua.. Kama kwenye timu una Feisal, Mkude wa kazi gani??.. Hivi hizi ni akili kweli au ndo ule tunaita 'unazi'?? Hivi kweli huyu 'dogo' ni fundi kiwango hicho.. Au mimi hua simtilii maanani??

Achana na mechi ya jana.. Tangu saa 8 usiku niliamua kumtilia maanani Feisal kwa kuangalia marudio za mechi zifuatazo zilizochezwa msimu huu;
1. Yanga SC vs Stand United
2. Simba SC vs Yanga SC
... lengo ni kushuhudia uwezo wake, lakini mpaka saa 1 hii ya asubuhi sijakiona kile kilichokua kikihubiriwa jana.
Nilichokiona mimi ni 'utoto' mwingi kwenye mpira wake.

Ndugu 'wachambuzi wa soka' maoni yenu tafadhali.
 
Ingawa wewe ni Simba umeongea vizuri kijana anajua ila utoto na Uzanzibar unamsumbua asipoangalia atakuwa kama Ahmed Mkweche
 
Ni kweli Mkuu.. Na ushauri wangu kwa watani zangu.. Kulikua kuna Juma Seif Kijiko.. Kukikua kuna Godfrey Mwashiuya..n.k wote walipotea kwa sifa kama hizi hizi wanazompa Feisal kwa sasa. Wapunguze kumpamba.
 
Hili suala la Feisal ni bora kuliko Mkude leo limenifanya nimekesha, nikimuangalia kwa umakini huyu Dogo.

Nilichogundua.. Fei Toto anahitaji kukaa na Mkude katika timu moja kwa misimu zaidi ya mitatu ili ajifunze.

Watani zangu Hajar Sibonike kyata Frank Wanjiru Guasa Amboni Ulimakafu n.k tupeni Feisal tumpike, then akiiva tunawarudishia.
Muda wa mkude kuja kwenye timu anayoshabikia tangu utotoni umefika,ngoja tusubiri mkataba wake huu na mikia ukiisha,tumlete kijana nyumbani
 
Fei atakuja kuwa middle mkubwa na mwenye uwezo kama hatalewa visifa vidogo hv.. sio kwamba amekuwa na uwezo wa kuaminiwa sana kuzidi MKUDE... haya ni matusi.
 
Achana na performance ya Samagoal au Msuva.. Au ile ya mabeki visiki Yondani, Gadiel, Nyoni na Kapombe.. Baada ya mechi ya jana kelele zilisikika toka kwa mashabiki hususani wale wa Yanga kua Feisal a.k a Fei Toto atosha.

Wanadai kua.. Kama kwenye timu una Feisal, Mkude wa kazi gani??.. Hivi hizi ni akili kweli au ndo ule tunaita 'unazi'?? Hivi kweli huyu 'dogo' ni fundi kiwango hicho.. Au mimi hua simtilii maanani??

Achana na mechi ya jana.. Tangu saa 8 usiku niliamua kumtilia maanani Feisal kwa kuangalia marudio za mechi zifuatazo zilizochezwa msimu huu;
1. Yanga SC vs Stand United
2. Simba SC vs Yanga SC
... lengo ni kushuhudia uwezo wake, lakini mpaka saa 1 hii ya asubuhi sijakiona kile kilichokua kikihubiriwa jana.
Nilichokiona mimi ni 'utoto' mwingi kwenye mpira wake.

Ndugu 'wachambuzi wa soka' maoni yenu tafadhali.

Mkuu umeshindwa hata kuwataja Abdi Banda na Aggrey Morris... kana kwamba hawakuwa sehemu ya ukuta wa STAZ! Wakati Mwarabu anatusukumizia zile 7 unakumbuka mabeki walikuwa akina nani?
 
Muda wa mkude kuja kwenye timu anayoshabikia tangu utotoni umefika,ngoja tusubiri mkataba wake huu na mikia ukiisha,tumlete kijana nyumbani
Hahaha.. Mkuu mbona unaongea kinyume.. Hivi una habari yule mchezaji anayewafanya mtembee vifua mbele kwa sasa Ajibu kashasaini precontract na Mnyama??
 
Feisal anajua mpira, ila hajajua umuhimu wa uwezo wake kwa timu. Kama alivyosema msemaji mmoja hapo juu hata Mimi naamini bado ana utoto mwingi na anapenda kucheza na jukwaa. Anatakiwa kupata mwalimu wa saikolojia kuhusu hali hii na baada ya hapo atakuwa mchezaji bomba. Binafsi siwezi kumfananisha Feisal na Mkude kwani kwa maoni yangu hawa ni wachezaji wanaopaswa kucheza nafasi tofauti. Kwangu Mkude ni holding midfielder wakati Feisal anapaswa kuwa attacking midfielder. Nature ya uchezaji wa Feisal inampeleka moja kwa moja nyuma ya washambuliaji ili kuwa mpishi na kurekebisha makosa yao. Kwa aliyemwangalia Jana atakumbuka pasi zake mbili kwenda kwa Msuva na Shomari walipokuwa wing ya kulia japokuwa moja ilikuwa intercepted lakini moja ilikuwa accurate pass kwa Msuva.
 
Mkuu umeshindwa hata kuwataja Abdi Banda na Aggrey Morris... kana kwamba hawakuwa sehemu ya ukuta wa STAZ! Wakati Mwarabu anatusukumizia zile 7 unakumbuka mabeki walikuwa akina nani?
Hahaha.. Mkuu kwa kifupi timu nzima ilcheza vizuri.. Hao niliowataja wanawakilisha wengine.
 
Feisal anajua mpira, ila hajajua umuhimu wa uwezo wake kwa timu. Kama alivyosema msemaji mmoja hapo juu hata Mimi naamini bado ana utoto mwingi na anapenda kucheza na jukwaa. Anatakiwa kupata mwalimu wa saikolojia kuhusu hali hii na baada ya hapo atakuwa mchezaji bomba. Binafsi siwezi kumfananisha Feisal na Mkude kwani kwa maoni yangu hawa ni wachezaji wanaopaswa kucheza nafasi tofauti. Kwangu Mkude ni holding midfielder wakati Feisal anapaswa kuwa attacking midfielder. Nature ya uchezaji wa Feisal inampeleka moja kwa moja nyuma ya washambuliaji ili kuwa mpishi na kurekebisha makosa yao. Kwa aliyemwangalia Jana atakumbuka pasi zake mbili kwenda kwa Msuva na Shomari walipokuwa wing ya kulia japokuwa moja ilikuwa intercepted lakini moja ilikuwa accurate pass kwa Msuva.

Shukrani Mkuu.. Umeongea vyema sana.
 
Kuna muda huwa naangalia mpira wa huyu dogo naogopa kusema hajui maana watu wengi wamelewa dhidi yake.

Huyo Toto hawezi kwanza mpira wa mikikimikiki pia ni kiungo mlaini sana, yaani nina uhakika hawezi kukutana na timu yenye kasi ya mpira akamudu.

Maoni yangu hayo, Feisal sioni kama anastahili kuwa na sifa kubwa anazopewa.
 
Fei toto anaupiga mwingi sana tatizo lake ni utoto unamsumbua,halafu tujue kila mchezaji kuna mpira hujiamulia kucheza ambao anapendelea kucheza tokea udogoni mwake.
Mim nafkiri anahitaji mda kidogo na atabadilika kutokna na ngazi ya mpira anaocheza saiv na nnavomkubali huyo jamaa akiwa na mpira mguuni ni hatari sana.
 
Ndio maana nikasema fei ni mzuri lakini si bora zaidi ya Mkude. Afate ushauri wa Sembo hapo juu ili awe bora zaidi.Swala la kuaminiwa ndio kama hivi anapata nafasi pale inapobidi.kila la kheri kwake.
Na Mkude pia alikua si mzuri mwanzon lakin kutokana na kuaminiwa kwa muda mrefu sasa tunamuona ni kiungo aliekamilika katika soka letu la nyumbani
 
Fei toto anaupiga mwingi sana tatizo lake ni utoto unamsumbua,halafu tujue kila mchezaji kuna mpira hujiamulia kucheza ambao anapendelea kucheza tokea udogoni mwake.
Mim nafkiri anahitaji mda kidogo na atabadilika kutokna na ngazi ya mpira anaocheza saiv na nnavomkubali huyo jamaa akiwa na mpira mguuni ni hatari sana.
Ni kweli Mkuu.. Alafu ukizingatia ndo msimu wake wa kwanza wa ushindani.
Ombi langu kwa Amunike.. Anatakiwa amuite ite timu ya Taifa.. Ili aweze kujifunza toka kwa kina Mkude
 
Back
Top Bottom