Wadau Huyu Fei Toto Mnamuonaje??

Wadau Huyu Fei Toto Mnamuonaje??

Hili suala la Feisal ni bora kuliko Mkude leo limenifanya nimekesha, nikimuangalia kwa umakini huyu Dogo.

Nilichogundua.. Fei Toto anahitaji kukaa na Mkude katika timu moja kwa misimu zaidi ya mitatu ili ajifunze.

Watani zangu Hajar Sibonike kyata Frank Wanjiru Vyamavingi Guasa Amboni Ulimakafu n.k tupeni Feisal tumpike, then akiiva tunawarudishia.
Hahahaaaa. Mtani wangu hujawahi ishiwa vituko.

Hivi kwani kumsifia Fei Toto sh ngapi. Mmwagie sifa zake bana.

Mkude ajipange. 💃💃💃💃💃💃
 
Hahahaaaa. Mtani wangu hujawahi ishiwa vituko.

Hivi kwani kumsifia Fei Toto sh ngapi. Mmwagie sifa zake bana.

Mkude ajipange. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hahaha... Feisal 'anajitahidi'.. Ila kufikia vile 'viwango' vya kuwa tegemeo la Taifa.. Inatakiwa asibweteke, aweke kichwa chini na ajifunze toka kwa kaka zake kina Mkude.
 
Hahahaaa. Swahiba utamfanya sembo alie ujue.
Kipindi cha mwisho Mkude anasaini Simba.. Tulimpa 80 milioni keshi + gari + mazagazaga kibao.. Safari hii tunadouble hilo dau.. Mna uwezo wa kupambana??
 
Hahaha... Feisal 'anajitahidi'.. Ila kufikia vile 'viwango' vya kuwa tegemeo la Taifa.. Inatakiwa asibweteke, aweke kichwa chini na ajifunze toka kwa kaka zake kina Mkude.
Hahahaaa. Angalau leo Mtani tunaweza ongea lugha moja hasa kwenye hili la asibweteke. Asipobweteka huko mbele atakuwa bora zaidi.

(Mtani na Mkudeee) Duuh.
 
Dogo anajitahidi sana na ana kipaji lakini huwezi kumfananisha na MKude, ila mbeleni atatusaidia sana huyu dogo.
 
Hahahaaa. Angalau leo Mtani tunaweza ongea lugha moja hasa kwenye hili la asibweteke. Asipobweteka huko mbele atakuwa bora zaidi.

(Mtani na Mkudeee) Duuh.
Hahaha.. Pamoja sana Mtani.
 
Dogo anajitahidi sana na ana kipaji lakini huwezi kumfananisha na MKude, ila mbeleni atatusaidia sana huyu dogo.
Ni kweli Mkuu atawasaidia kama;
1. Akilinda kipaji chake tofauti na Juma Seif Kijiko alivyojisahau
2. Akiwaheshimu 'wazee' wa Yanga tofauti na Domayo alivyofanya.
 
Mkude ni balaa, we mchezaji karibia misimu 10 yupo kwenye kiwango bora kabisa unadhan mchezo.. kundi la mkude wapo akina yondani, sure boy, nyoni, boko, himid, kapombe, na wengine wachache.
 
Kuna muda huwa naangalia mpira wa huyu dogo naogopa kusema hajui maana watu wengi wamelewa dhidi yake.

Huyo Toto hawezi kwanza mpira wa mikikimikiki pia ni kiungo mlaini sana, yaani nina uhakika hawezi kukutana na timu yenye kasi ya mpira akamudu.

Maoni yangu hayo, Feisal sioni kama anastahili kuwa na sifa kubwa anazopewa.
Shekhan Rashid hakuwa kiungo laini enzi zake?

Fei Toto anaujua mpira, ni aina ya wachezaji kama Fabrigas si wakutumia nguvu kama Mkude, Patric Viera au Gatusso!

Ni swala la muda tu Fei anaweza akawa kiongo mgawa mapande hadari kabisa kwa washa.buliaji!
 
Miaka 4 aliyokaa mikia akuwahi kua na furaha km mwaka m1 aliokaa Yanga,anajua vzr adha za mikia + mikia wanavyotreat niyonzima,ajibu hawezi kufanya ujinga,wenye Yanga yetu tunajua ajibu kwa sasa lengo lake ni kucheza nje ya TZ,hilo ndio litakalotusumbua kumuongezea mkataba but si kurudi mikia
Hahaha.. Mkuu mbona unaongea kinyume.. Hivi una habari yule mchezaji anayewafanya mtembee vifua mbele kwa sasa Ajibu kashasaini precontract na Mnyama??
 
Back
Top Bottom