sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Achana na performance ya Samagoal au Msuva.. Au ile ya mabeki visiki Yondani, Gadiel, Nyoni na Kapombe.. Baada ya mechi ya jana kelele zilisikika toka kwa mashabiki hususani wale wa Yanga kua Feisal a.k a Fei Toto atosha.
Wanadai kua.. Kama kwenye timu una Feisal, Mkude wa kazi gani??.. Hivi hizi ni akili kweli au ndo ule tunaita 'unazi'?? Hivi kweli huyu 'dogo' ni fundi kiwango hicho.. Au mimi hua simtilii maanani??
Achana na mechi ya jana.. Tangu saa 8 usiku niliamua kumtilia maanani Feisal kwa kuangalia marudio za mechi zifuatazo zilizochezwa msimu huu;
1. Yanga SC vs Stand United
2. Simba SC vs Yanga SC
... lengo ni kushuhudia uwezo wake, lakini mpaka saa 1 hii ya asubuhi sijakiona kile kilichokua kikihubiriwa jana.
Nilichokiona mimi ni 'utoto' mwingi kwenye mpira wake.
Ndugu 'wachambuzi wa soka' maoni yenu tafadhali.