Wadau kitimoto nzuri napata wapi Dar?

Hapa kazimoto pork huduma ya kawaida gharama za juu
 
Mibs unapaonaje kwa kitimoto mamaa?
Hapana Mpinzani...

Upate ile ribs choma.... Wueeeh!!!
Tatizo lao ukiorder inachelewa mno kuletwa.... unless upige simu uweke order mapema...
 
Hapana Mpinzani...

Upate ile ribs choma.... Wueeeh!!!
Tatizo lao ukiorder inachelewa mno kuletwa.... unless upige simu uweke order mapema...
Kuna mkuda wangu alipeleka pale daah wanajua na wanajua tena
 
Hapana Mpinzani...

Upate ile ribs choma.... Wueeeh!!!
Tatizo lao ukiorder inachelewa mno kuletwa.... unless upige simu uweke order mapema...
Pa ovyo sana hapo mibbs...ribs kali nenda city pork tabata magengeni au micasa ubungo river side ( hawa ni mapacha
 
Pa ovyo sana hapo mibbs...ribs kali nenda city pork tabata magengeni au micasa ubungo river side ( hawa ni mapacha
Ooooh...Ahsante Best..

Micasa nimewahi kuila ya pale... ni nzuri pia...
Shida ya Mibs ni kusubiria..Woiiii....
 
Wadau, kuna chimbo pia nimeliona mitaa ya Shekilango. Kamtaa pale wanauza kitimoto balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…