Wadau kitimoto nzuri napata wapi Dar?

Wadau kitimoto nzuri napata wapi Dar?

Ina maana wote hampajui kontena karibu na Hubert Kairuki? Sijaona mmepataja.

Anyways mimi nassugest:-
1: Kontena karibu na HK Hospital
2: Kazimoto Pork Tabata Segerea
3: Pipz Pork Mikocheni na Mwenge

Kwa Morogoro kuna mwamba anaitwa Kimario yuko nyuma ya Msamvu Bus Stand, very local place but mdudu wake ni [emoji91][emoji91][emoji1544]

Hapa kazimoto pork huduma ya kawaida gharama za juu
 
Mibs unapaonaje kwa kitimoto mamaa?
Hapana Mpinzani...

Upate ile ribs choma.... Wueeeh!!!
Tatizo lao ukiorder inachelewa mno kuletwa.... unless upige simu uweke order mapema...
 
Hapana Mpinzani...

Upate ile ribs choma.... Wueeeh!!!
Tatizo lao ukiorder inachelewa mno kuletwa.... unless upige simu uweke order mapema...
Kuna mkuda wangu alipeleka pale daah wanajua na wanajua tena
 
Hapana Mpinzani...

Upate ile ribs choma.... Wueeeh!!!
Tatizo lao ukiorder inachelewa mno kuletwa.... unless upige simu uweke order mapema...
Pa ovyo sana hapo mibbs...ribs kali nenda city pork tabata magengeni au micasa ubungo river side ( hawa ni mapacha
 
Pa ovyo sana hapo mibbs...ribs kali nenda city pork tabata magengeni au micasa ubungo river side ( hawa ni mapacha
Ooooh...Ahsante Best..

Micasa nimewahi kuila ya pale... ni nzuri pia...
Shida ya Mibs ni kusubiria..Woiiii....
 
Wadau, kuna chimbo pia nimeliona mitaa ya Shekilango. Kamtaa pale wanauza kitimoto balaa.
 
Back
Top Bottom