Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana wote hampajui kontena karibu na Hubert Kairuki? Sijaona mmepataja.
Anyways mimi nassugest:-
1: Kontena karibu na HK Hospital
2: Kazimoto Pork Tabata Segerea
3: Pipz Pork Mikocheni na Mwenge
Kwa Morogoro kuna mwamba anaitwa Kimario yuko nyuma ya Msamvu Bus Stand, very local place but mdudu wake ni [emoji91][emoji91][emoji1544]
UnajuaNenda La cassa,pale Tabata Magengeni.
HakikaMIBS Sinza
[emoji2][emoji2][emoji2]Hakika
Mibs unapaonaje kwa kitimoto mamaa?[emoji2][emoji2][emoji2]
Hapana Mpinzani...Mibs unapaonaje kwa kitimoto mamaa?
Kuna mkuda wangu alipeleka pale daah wanajua na wanajua tenaHapana Mpinzani...
Upate ile ribs choma.... Wueeeh!!!
Tatizo lao ukiorder inachelewa mno kuletwa.... unless upige simu uweke order mapema...
Wale jamaa hawana mpinzani...Kuna mkuda wangu alipeleka pale daah wanajua na wanajua tena
Pa ovyo sana hapo mibbs...ribs kali nenda city pork tabata magengeni au micasa ubungo river side ( hawa ni mapachaHapana Mpinzani...
Upate ile ribs choma.... Wueeeh!!!
Tatizo lao ukiorder inachelewa mno kuletwa.... unless upige simu uweke order mapema...
Sinza kijiweni kuubwa ..sehemu gani hapo?Njoon sinza kijiweni muone maajabu kitimoto tamu balaa
Ooooh...Ahsante Best..Pa ovyo sana hapo mibbs...ribs kali nenda city pork tabata magengeni au micasa ubungo river side ( hawa ni mapacha
Pa ovyo sana hapo mibbs...ribs kali nenda city pork tabata magengeni au micasa ubungo river side ( hawa ni mapacha
HaituhusuKitimoto kiliwe kwa siri Sana. Wenyewe hawapendi
Hivi huwa Wana foleni ndefu au yaani Wana keraOoooh...Ahsante Best..
Micasa nimewahi kuila ya pale... ni nzuri pia...
Shida ya Mibs ni kusubiria..Woiiii....
Bei gani wanauza pale Micasa Ubungo?Pa ovyo sana hapo mibbs...ribs kali nenda city pork tabata magengeni au micasa ubungo river side ( hawa ni mapacha
Sehemu gani mkuu? Sheki napita dailyWadau, kuna chimbo pia nimeliona mitaa ya Shekilango. Kamtaa pale wanauza kitimoto balaa.