Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Karibuni rest park...nasubiria ribs hapa Arien Azarel
Makiwendo
Evelyn Salt
Simara
View attachment 2050014
Unywele Twin wangu[emoji3059][emoji3059]
kilikua poa kitimoto chake, maana huwa anazingua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni rest park...nasubiria ribs hapa Arien Azarel
Makiwendo
Evelyn Salt
Simara
View attachment 2050014
Shida ya Mibs ukiagiza inabidi kusubiri zaidi ya masaa mawili ndiyo inaletwa[emoji18]
Sent using Jamii Forums mobile app
Afuu hawajui kupika yaan [emoji57][emoji57]
Nadhani tangu wamepakarabati ndiyo huduma zimezidi kuwa mbovu...sipapendi kichizi unafika saa sita kula saa kumi!!
last week nilienda nikataka rost, kimekuja kitimoto kibaya nikajuta kupoteza muda wangu
Hivi bado unaenda tu mibbs my?...kwanini usisogee hapo micasa ukala ribs zako safi za kukokwasipapendi kichizi unafika saa sita kula saa kumi!!
last week nilienda nikataka rost, kimekuja kitimoto kibaya nikajuta kupoteza muda wangu
Kitimoto Chao kibaya...wanauzia jina tu lolMIBS Sinza unapafaham?
Mi basi toka zamani naonaga kitimoto chao sio kivile....yaan nimewahama zamani sanaNadhani tangu wamepakarabati ndiyo huduma zimezidi kuwa mbovu...
Halafu naona siku hizi hapajachangamka kama Mwanzo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kilikuwa kizuri...mi nawambiaga wapishi wake vile mi nataka ichomwe ndo maana hawazinguiUnywele Twin wangu[emoji3059][emoji3059]
kilikua poa kitimoto chake, maana huwa anazingua
Nenda Goba njia ya kwenda Madale ukitoka njia nne kuelekea Madale kuna bar maarufu sana inaitwa Joy Es Lava agiza ya kuchoma, hakika utakuwa unatia timu kila wikiWadau naomba tushare sehemu nzuri kwa hapa Dar ambazo zinawapishi wazuri wa kitimoto tuweze kuwa tuna badili viwanja.
Majina ya sehem na location itapendeza zaidi.
--------
Pitia link hizi
Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo
Tujuzane machimbo yetu pendwa ya nyama ya kitimoto
Resti sijui anawekaga nn kwenye kitimoto. Maana ni tamu hatari. Japo Haramu Ila tamu
Tulia wewe. Sikukuu keshokutwa Lazima Bei itapanda tu. Resti Kitimoto hanaga show mbovu Kama Mama ChamboMuogope Allah ndugu yangu,,,
Juliana
Haizid ya RestiMbezi Beach ndio baba lao!!
Tulia wewe. Odd keshokutwa Lazima Bei itapanda tu. Resti Kitimoto hanaga show mbovu Kama Mama Chambo