Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters hawa wakaendelea kushusha mamia ya Dua mbaya kwa Mama yetu ambazo hazijapokelewa na Wala hakuna dalili ya kupokelewa.
Makumi ya threads yakashuka jana hiyohiyo kutoka kwa haters wa Mama yetu yakimshutumu yeye na serikali yake. Waliohoji lolote katika kutaka kukazia uelewa na uyakini wa tukio hilo walitukanwa na kubezwa na 'wajuzi' hao wa mambo ya utekaji. Pamoja na jitihada zote hizo za haters, movie Wala haionekani kuuza......raia wamekataa kabisaaa kuelewa sababu sura na macho yake vinasema tofauti na mdomo wake.
Wakiwa wameumbuka tayari, haters Leo wamejifichia kwenye habari ya mwenyekiti wa bavicha hawana time kabisa na ile movie. Mnafikiri kosa lilikuwa wapi kwenye uchezaji wa hii movie? Karibuni wadau kwa michango murua kwa faida ya kizazi hiki na kijacho.